Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Sifa vyumba viwilii kimoja master Jiko Public toilet ambayo iko ndan Sebulee kubwa tu Fensii na parking ipo Bei ni laki 3(unalipa kwa miez 6) Eneo ni Kikuyu st john Status:Nyumba ni mpya kila...
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Gari aina ya toyota carina inauzwa..... specifications: 1. Ti carina 1998 2. CC: 1490, Engine 5A. 3. Haina AC ila mfumo wa ac upo vitu vingine vipo safi, gari haivumi imetulia barabarani. 4...
0 Reactions
28 Replies
41K Views
Tshs 180000/= Nicheck PM.
0 Reactions
4 Replies
866 Views
Wadau nahitaji hii kitu ASAP, nielekezeni wapi naweza pata kwa TZ Thanks Ni mini combine harvester
0 Reactions
0 Replies
968 Views
XIAOMI REDMI NOTE 2 DUAL SIM Network 4g | Display 5'5 Storage 16gb | Ram 2gb Camera 13mp | Selfie 5 Battery 3030 Simu iko vizuri sana Bei 120000/-
0 Reactions
2 Replies
662 Views
INAUZWA Samsung J1 mini prime Iko vizuri sana Bei 100000
0 Reactions
2 Replies
543 Views
Jamaa angu ana million 1, anataka pikipiki yupo Masasi (Mtwara). Hataki Sanlg, t better wala fekon.
0 Reactions
6 Replies
856 Views
Kuna watu kama watatu nimewauliza swali km hili na wamenipa jibu linalofanana. Wameniambia brand bora kwa sasa ni Samsung, LG na Star X. Wajuzi wanipe maujuzi nisijenunua kitu feki
0 Reactions
73 Replies
25K Views
Wadau naomba kujua bei ya bajaj mpya na hesabu kwa siku pamoja na changamoto ya biashara hii kwa wenye uzoefu na biashara hii.
2 Reactions
14 Replies
12K Views
Inauzwa Samsung A10(2019) Mpya kasoro box Rangi nyeusi Location- sinza Bei 250000/-
0 Reactions
4 Replies
2K Views
PATA TV YA STARTIME NA SOLA KWA MKOPO. Tunatoa tv flat-screen inch 24 yasola yenye kingamuz cha ndan kilicholipiwa miaka miwili BURE+dish.solar panel ynye W30 na betr ynye uwezo wa 90W.inayoweza...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Hizi raba nilinunua kwa ajil kuvaa mwenyewe lkn zmenibana, so ukizielewa nirudishie hela Ni namba 42 na Bei ni 20,000 tu. Napatikana dsm mitaa ya tbt na posta.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Bei 380k tatizo n home button tu imeharibika Mawasiliano +255758898201
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Je? Umekuwa ukisumbuka na -UNENE ULIOPITILIZA. -KITAMBI -KUTENGENEZA SHEPU YA MWILI WAKO -KUTAKA KUONGEZA UZITO. -KUONDOA KITAMBI. -KUPUNGUZA/KUNENEPESHA MIGUU -KUPUNGUZA/KUNENEPESHA MIKONO...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Mtalamu wa rangi za majumbani aina zote .0718426044
0 Reactions
0 Replies
3K Views
je unahitaji kujenga iwe nyumba; gorofa swimming pool; kuchorewa ramani; kukaguliwa ubora wa jengo lako? kama jibu ni ndio basi tunakukaribisha ujenge na sisi office yetu ipo kibaha maili moja...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Hello?, Nauza vifaa vya salon kwa jumla 780K , Sababu ya kuuza ni kushindwa kuisimamia biashara hii kutokana na shughul zangu za kila siku. Mashine,Kiti kimoja cha kunyolea, Kiti kimoja cha...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
KITABU CHA "DAMU NA MACHOZI" : :BEI SH 10000 : "Mshindi wa tatu ni Patreporo Clekozik kutoka Slovenia, mshindi wa pili ni Linda Windsay kutoka Marekani na mshindi wa kwanza niiiiiiiiii! "Alipofika...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
*NOTES SOFTCOPY* JIPATIE NOTES NA *VITABU* VYA MASOMO YA SEKONDARI FORM *ONE –SIX* SOFTCOPY O-LEVEL NOTES – *TSH 1,500/=* (SOMO MOJA KIDATO KIMOJA) A-LEVEL *NOTES –BOOKS* *TSH 3,500/=* (SOMO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kinahusu sisi http://www.one2onefocus.com]www.one2onefocus[/URL] tunauza viwanja vya garama nafuu kwa mtanzania wa hali ya chini aweze kumiliki Arithi Viwanja vipi Ruvu ya...
1 Reactions
37 Replies
9K Views
Back
Top Bottom