Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

KARIBUNI WATEJA AGIZA PIKIPIKI BOXER 125 KWA 2200000 TU PIKIPIKI NI MPYA UTAPATA NDANI YA SIKU 15 UNALIPIA MILIONI 1850000 PIKIPIKI YAKO IKIFIKA UTALIPIA PESA ILIYOBAKI KAMA USAFIRI NA KODI...
0 Reactions
8 Replies
395 Views
Kiwanja Kiko balili mjini wilayani bunda mkoani Mara. Kina Ukubwa wa 29 KWa 28 KWa kuhesabu hatua au tambo za miguu na kimepimwa na halimashauri.mnunuzi atalazimika kufatilia offer kisha hati...
0 Reactions
2 Replies
177 Views
1. Ipo karibu na Open University ukubwa wa eneo hatua 12*8 = Bei Mil34 2. Ipo Kinondoni shamba karibu na Muslim, ukubwa wa eneo 20*12= Bei Mil 52 3. Ipo Kinondoni shamba ukubwa wa eneo 16*12 =...
1 Reactions
4 Replies
343 Views
Habari za majukumu! Nategemea kuvuna matikiti mwezi huu wa 8 tarehe 24-25, shamba lipo mkulanga, unaruhusiwa kutembelea shambani muda wowote kuangalia na kufanya makubaliano muda wowote kuanzia...
1 Reactions
12 Replies
471 Views
Service is temporarily suspended.
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Habari za wakati huu, Nategemea kuvuna matikiti yangu Jumamosi hii tarehe 7, naomba kama kuna muhitaji / Dalali au anayeweza kunipa connection ya kuuza naomba saana msaada wenu. Nimelima...
1 Reactions
4 Replies
528 Views
Toyota rumion Cc 1490 Year 2007 Price 16milion Call 0686475568
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Nahitaji Either Prius au Aqua moja. Anayeuza anicheki. iwe kwenye hali nzuri. na usajili uwe na E. Offa 15m Inbox
2 Reactions
4 Replies
830 Views
Nauza Mashamba - Dodoma kwa bei nafuu, heka kwa Tsh.300,000/-yapo wilaya ya chamwino vijijin kwa maelezo zaidi piga simu no.0694 662625, Karibuni na pianauza mashamba na viwanja Dodoma Veyula...
1 Reactions
8 Replies
530 Views
Nahitaji kununua mashine ya Selcom nipo dar es salaam iwe imeungwanisha na nbc, muuzaji serious anitext inbox
2 Reactions
12 Replies
609 Views
Kumekuwa na mjadala watu wa magari hupenda kuuzungumzia kuhusu iwapo mtu ana hitaji la kununua spare, je ni bora kwenda dukani kununua mpya kwenye box, ama ni bora ukanunua used iliyofunguliwa...
0 Reactions
26 Replies
879 Views
Kuna hivyo vya aina kama blue bahari 9500/= alafu Sina hiyo nyingine kama blue iliyokolea 8500/= Ni hasara but inabidi nifanye hivyo. Njoo inbox USSR
0 Reactions
9 Replies
745 Views
Timberland loafers boat brown leather nilipatiwa kama zawadi tu sijakipenda == price 38,000 ( size 41 { au 10 } )
1 Reactions
27 Replies
830 Views
Nina laki 6 natafuta laptop Iwe dell, hp au mackbook ndio ninazikubali sana Iwe na angalau sifa zifuatazo Ram 8GB STORAGE - SSD angalau 200 gb Generation 8+ Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA...
4 Reactions
9 Replies
359 Views
Funga alarm kwa ulinzi wa gari yako na pia kuepusha kufungua fungua vitasa na funguo maana remote zinauwezo wa kufungua na kufunga kwa umbali wa mita 50 hadi 100 karibu tukuhudumie Piga...
1 Reactions
7 Replies
289 Views
🚙Jeep ➡️Grand Cherokee ➡️Limited edition ➡️Make 2014 ➡️CC 3600, Petrol ♨️ECO consumption tech ➡️Auto 4x4 transmision ➡️Push start Air suspension auto 🛩Cruise control Auto Idle control...
1 Reactions
0 Replies
270 Views
Star x imenyooka haina kipengele ipo kwenye box lake imetumika mwez mmoja tu bei laki mbili tu 200,000/= pungufu tuzungumze private nichek kwa 0627218573 piga sms whatsap namba hiyo mali ipo...
1 Reactions
5 Replies
346 Views
Nilikopa bajaj TVS KING TUKTUK mpya kwa kampuni flani ila nilitanguliza Tsh 1m kama dhamana, imetembea km 300 tu na ina bima ndogo, ina fire extinguisher, Latra na triangle zake ikiipata ni road...
11 Reactions
115 Replies
10K Views
Habari ya ijumaa. Nategemea mko na amani ya moyoni kwa kiwa Leo ni siku ya ijumaa. Madirisha ya nondo na fremu ya mbao yanauzwa. Kulikuwa na servant quarter inajengwa yakabaki hayo madirisha 2...
1 Reactions
2 Replies
564 Views
Mkombe Luxury Safari ya kwenda South Africa[emoji1221][emoji1221] Johannesburg kutoka Dar [emoji1241][emoji1241] ni tarehe 06/01 wahi tiketi yako mapema kwa tzsh 400,000/= au Rand 3000/=...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom