Kwa yeyote ambae atahutaji usaidizi wa kuelekezwa au kufanyiwa HUDUMA zifuatazo asisite kunitafuta.
1.RITA verification ya VYETI vyote. VYETI vya KUZALIWA na VIFO
2.kufanya application za vyuo...
SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe.
Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni...
Habari zenu. Kinanda aina ya Yamaha PSR F52 kinauzwa sh 280,000 ambacho kimetumika miezi 2=tu ni kama Bado kipya. Alikuwa anatumia mume wangu kujifunzia kupiga kinanda. Sasa hivi amenunua chenye...
Jenga na Mabati bora na Imara kwa bei nzuri kutoka Kampuni ya DRAGON. Kiwanda kinachoongoza Tanzania kwa Ubora wenye uhakika kwa zaidi ya miaka kumi (10) sasa Sokoni.
Utapatiwa WARANTII ya miaka...
Natafuta sarafu za zamani zenye tundu katikati kuanzia mwaka 1918 kurudi nyuma. Aliye nazo anaweza kunitumia picha Whatsapp 0768734611 kwa maelewano. Pia napatikana kwa 0786817145
Habari za Leo Wakuu? Nimepita sehemu moja wakanimbia kuna baadhi ya coins hasa za Ujerumani ukiwanazo basi unauza bei ya maana, mamilioni ya shilingi za Kitanzania. Naomba kuuliza kuhusu hela zetu...
Jipatie mbegu za mbogamboga OPV na siyo HYBRID, zinaota vizuri na zinazaa sana.
Tunauza kwa bei ya jumla kuanzia kilo 10. Mzigo unatumwa popote kwa uaminifu mkubwa.
Piga/sms/Whatsapp 0752042670...
Msaada nina rafiki yangu anatafuta nyumba au apartment ya kupangaisha yenye swimming pool Dar; Any recommendation? maeneo ya Mbezi beach kuelekea Bagamoyo!
Naomba kupata muongozo namna ya kupata kontena la futi 20 au hata zaidi ya hapo kama itawezekana. Bei iwe nafuu kidogo mana budget imenibana.
Naomba anayeuza tuwasiliane au anayejua mahal naweza...
Hello Unahitaji mashine ya kukata nyama kwenye bucha pata kwetu na waranti ya mwaka mmoja
Mashine tunauza kwa 1300000 tu tupo kariakoo mtaa wa masasi na ndanda
Namba zetu 0774150519
Instagram...
Bryte Sky Links is a well-established and trusted business that prides itself on providing a wide range of essential services to meet the diverse needs of our valued clients. With a commitment to...
ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea.
WhatsApp 0712 148001.
Pia nanunua magari chakavu .
Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA.
Pia nitakua natoa vocha mara moja moja...
Habari zenu , nauza shamba heka moja , shilingi milioni mbili na nusu 2.5 million haipungui hata mia , shamba lipo mkoa wa pwani wilaya kisarawe , kijiji cha mloo kata ya kibuta ,mbele ya homboza...
KARIBU FSF LOGISTICS COMPANY LTD
Kwa wafanya biashara na taasisi mbali mbali FSF LOGISTICS imesikia kilimo chenu Cha muda mrefu kilicho sababishwa na kuwatumia madalali katika kusafirisha mizigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.