• Condition: Used in Tanzania
• Second condition: Mint
• Registration: D
• Document: Full
• Status: Duty & Insurance paid
• Price: TZS 20 million
• Location: Dar (0767157788)
.
✓ saloon
✓ white...
Ni duka gani kwa DSM wanadeal na kuuza Computer Wana options ya kulipia kidogo kidogo nina uhitaji wa computer lakini kwa kipato changu ni ngumu kununua kwa pesa ikiwa yote imekamilika.
QUALITY MUSIC CLASS, tunakuletea darasa la kujifunza vyombo vya muziki; Piano,guiters,na Drums tunapatikana mbagala, kwa wale ambao wapo mbali na Dar es salaam tunafundisha kwanjia ya whatsapp na...
Heshima Kwenu wakuu, tumekamilisha usajili Wa NGO, sasa tunatafuta donor kwa ajili ya kufanya project ya kwanza.
Naomba msaada jinsi ya kuwapata nipo dar
Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani.
Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi...
Mizani aina zote
⚖ Njoo upate mizani aina mbali mbali kulingana na matumizi yako.
Ipo mizani digital & analog.
⚖️Inafaa kupima wanyama wazima kama kuku, nguruwe, mbuzi na Ng'ombe. Pia nyama...
Ndugu Wana JF nauza gari langu milioni 5 aina ya mark two grande ya mwaka 2003, engine capacity CC 1980, engine 1G-FE VVT-i mawasiliano calls/WhatsApp 0789208897
Ofa Ofa ya nanenane imewafikia wakazi wa Dodoma mjini pata maziwa fresh na mgando kwa bei nafuu kabisa . Lita kwa 1600 na lita tano kwa 8000 tunafanya derivery bureeee🤹 kwa kiasi chochote maeneo...
CHUMBA MASTER MPYAA - NJIA PANDA YA SEGEREA JIRANI NA STAKISHARI POLISI
(A) Chumba Master Kubwaa Mpya - Kodi 100,000 miezi 6
Zipo Ndani ya Geti. Umbali wa Kutembea Kwenda kituoni dk 10
Maji...
Naitwa Nassor Khalfan Mugara nimepoteza VYETI VYANGU VYOTE vikiwa katika bahasha moja ya kaki tar 3/08/2024 Eneo la kibaha maili moja.
Kwa yeyote atakae fanikisha kupatikana kwake atapokea...
Hii simu (Samsung galaxy A04s) ni brand new kutoka dukani nimeitumia miezi 3. Naiuza kwa 300,000 tu! Maongezi yapo. Storage ni GB 128. Memory Ram 4Gb. Ni simu ya kisasa unaweza upgrade kwa mfumo...
Salam wakuu. Kwa yeyote anayehitaji huduma ya kuandikiwa kazi yake iwe kwenye word, Excel au PowerPoint, ndani ya muda mfupi muda wowote ule kijana nipo hapa kwa huduma hiyo.
✓ Kwa upande wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.