Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ningependa niwatakie heri ya sikukuu za Christmas na mwaka mpya wadau wote wa Jamii forums, najua wengi wetu tutakuwa tumejumuika na familia zetu, basi ningependa ofa hii ambayo naweza nikasema...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
tunauza vifaa aina zote vya butcher mashine za kukata nyama 1,800,000/= mashine za kasaga nyama 600,000/= mashine za ku slace nyama 300,000/= misumeno ya mashine 25,000/= na accessories za butcher...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Ndugu zangu, mimi nipo Dar es salaam, nahitaji mashine ya kutengeneza juice ya miwa, mwenye nayo ani contact 0719626377
0 Reactions
3 Replies
935 Views
Ndugu Wana jamvi nikiwa Kama kijana nimeanzisha biashara yangu ya uuzaji asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo na inapatikana kwa ujazo wowote utakao hitaji kuanzia nusu litre na kuendelea na...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari, Nauza HP Probook laptop Core i5 Ina 1 TB Ram 8GB Bei Ni 350000 Fixed Haipungui Wasiliana nami Nipo kimara Mwisho Sababu ya Kuuza Ni Shida zangu Binafsi Ikifika Tar 28 nacancel plan...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
*HP Folio 9470m Core i5* *Brand new slim PC* 7th Generation pc HD Graphics Display LED 14" Display *Brand new PC* Ram 4GB Hard disk 500Gb *Very Very Slim PC*...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Tunauza Gas za kupikia bei nafuu..piga popote utaletewa .Tunapatikana buza sigara.na buza kanisani. Nmba za simu .0654516016
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninanunua Mawe ya kwenye Nyongo ya ngombe. Kwa bei ya 35,000 mpaka 38,000 kwa gram. Yakiwa yamekauka. Kama unayo au kuna mtu anayo njoo pm.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote walionitia moyo kwa kuniungisha kitabu changu cha SHERIA KWA KISWAHILI. tuliamua kupunguza bei ya kitabu kile toka Tshs. 15,000 hadi Tshs. 10,000 ili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji engine ya Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Nahitaji gari kwa ajili yangu kati ya Runx/Premio au Allex namba C au D. Bajeti yangu ni 7mil. Rangi yoyote isipokua nyeupe. naweza kuilipia hata Sasa baada ya kuikagua na kukubaliana. Nipgie au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau salama ! ! Natafuta plot ya kununua maeneo karibu kabisa na daraja upande wa kigamboni isizidi km 4 toka darajani, iweze kufikika kwa gari kama canter bila shida, mwenye nayo tuwasiliane kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu Wana jamvi nikiwa Kama jina nimeanzisha mradi wa ufagaji nyuki na kwa Sasa nimeanza kuvuna asali napatikana maeneo ya keko Dar es salaam lakini natuma mzigo wa asali mahala popote naombeni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF, kiwanja kinahitajika katika maeneo tajwa kisiwe bondeni pia pawe panafiika gari, umeme na maji yawe karibu. Kama unacho taja eneo, ukubwa na bei
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Android; 5.1 lollipop Screen size; 5.5 inches RAM; 2GB Internal storage; 16GB Back camera; 13MP with led flash Front camera; 5MP with led flash Network; 4G LTE Better; 3,000 may Simu inacreck...
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Naomba anayejua sehemu nawezapata viatu bora vya ngozi vya mitumba nikiwa Dar es Salaam anijulishe. Si kwajili ya bishara. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nini rafiki yangu amepangiwa kazi mbeya anataka kujifunza mojawapo ya lugha tajwa juu mwenye kujua tafadhali nijuze nimwambie
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CANON IR 2202 SIFA: INA TOA COPIES NA KUPRINT (A4, A3 ETC) BLACK AND WHITE BEI- 850,000/= CANON IR 1024 PRINTER AND COPY BLACK AND WHITE BEI-950,000/= PRINTERS HP 176 mfp- 550,000/- Laserjet Ina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Niliwahi kuulizia kuhusu mifuko ya kufungia nafaka kilo 2 na kilo 5. Nilielekezwa humu na baadhi yenu nimepata. Sasa naulizia mashine ya kufungia mifuko hiyo naweza kupata wapi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom