Nmekua nikihitaji sana kua Mpiga picha. Kwa yeyote anayeuza camera (stil picture) nzuri kwa bei nzuri na poa. Hasa nikipata Nikon au Sony itapendeza
Kwa mawasiliano zaidi basi njoo kwanza pm then...
Wadau niko mkoani Dodoma, mwenye uhitaji wa maeneo ambayo bado hayajapimwa, nimakubwa kuanzia ekari moja, kwa pesa taslim 1M. Pia kiwanja kikubwa cha 70/46 bei sh 8 M. Maeneo tote hayajapimwa...
Kipo Mwanza maeneo ya National mkabala na barabara inayokwenda Buswelu square meters 583 kimeshapimwa na hati miliki..Bei mil 19 haipungui na hakuna gharama za Dalali
Kwa aliye serious nipigie...
Nataka nijaribu kufanya hii biashara, mimi ni mwajiriwa hiyo pesa nimeweka akiba miaka mitatu. Nataka nianze na coaster moja , sema sina ujuzi na hii biashara.
Hiyo gari sina uhakika kama ni...
Nyumba inauzwa Iringa mjini Karibu na Tumaini University na Kihesa secondary school. Kwa mawasiliano call 0714 49 75 10 au 0767 33 11 70.
Bei maelewano. Inaanzia 21m
Karibuni
Wakuu salaam
Kama mada inavyojieleza
Nauza dagaa wa kukaanga kwa Bei ya jumla,ndoo kubwa elfu 60
Nipo Morogoro mjini,Kama unahitaji weka ODA yako mapema mzigo unaingia jumatatu mapema Sana...
Nauza Samsung J4 2008....Imetumika Only one month 320,000
0627958839
32gb memory/2GB RAM
1.4 GHZ CORE PROCESSOR
13MP REAR CAMERA/5MP FRONT CAMERA
INA WARRANT YA 2YEARS
Sent using Jamii Forums...
Naombeni msaada wenu wakuu wa moshi!
Nyumba iwe self ya kuanzia room mbili au tatu.
Isiwe mbali sana na sehemu ya kupanda daladala za kwenda mjini.
Iwe na fensi na nafasi ya kueza kupak gari...
Wapendwa karibuni Mashuka ya mtumba toka Omani kwa bei poa kabisa Mashuka yana uwezo wa kutandika kitanda cha 8 kwa 10 nimazito cotton %100 bei 30,000/= ukichukua mawili bei inapungua kidogo...
Nauza CPU aina ya Dell Hdd 120g , ram 2g , Dvd Rom , core i3 zote zikiwa, tayari installed kwa windows 7 kwa bei ya Tsh 130, 000/= km unahitaji nicheck kwa whatsapp no 0654 40 35 40
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote walionitia moyo kwa kuniungisha kitabu changu cha SHERIA KWA KISWAHILI. tuliamua kupunguza bei ya kitabu kile toka Tshs. 15,000 hadi Tshs. 10,000 ili...
internal storage: 16GB
RAM: 2GB
Screen size: 5.5 inches
Network: 4G LTE
Camera: 13MP with led flash
Camera iko poa haina chenga
simu inacracks kadhaa ila inapiga kazi haisumbui
Tsh 125,000 Dar...
Wadau hii ni aina gani ya madini? Na soko lake kwa hapa Tanzania liko wapi,na bei yake ikoje msaada please nimeambatanisha na picha hapa chini,yana rangi ya dhambarau,
My WhatsApp number 0787701403
Habarini wandugu!!!
kama nilivyoandika kwenye title! Nahitaji printer inayo weza tumika kwaajili ya biashara
printers iwe vigezo vifuatavyo
1 iwe laserjet printer
2 iwe colored
3 iwe na uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.