Ndugu zangu
NIna shida na msichana wa kazi za ndani umri mika 15-18, nimeliwa sana hela nimeambiwa nitume nauli kila nikituma nakutana na wajanja, hawamleti kwa safari hii, akipatikana apande...
Fanya kunichek kwa namba 0759 432 654 niweze kukuingiza kwa orodha ya wateja watakaofanyiwa delivery buree
Earphone ni 9000
Usb ni 6000 tu
Jamani mzigo unakaribia kuisha na moshi pia nafanya...
Habari za mchana wana jf
Nipo Singida mjn natafuta soko la mifupa ya wanyama kuna wakati nilisikia arusha wananunua sana kwa ajili ya kutengeneza vyombo km sahani .kwa yeyote anayefahamu mahali...
Simu ya Xiaomi mi max, inauzwa, ina 128 gb, ram 4gb, betri 4850 mAh, camera 16 kwa 5, internet 4g, display inch 6.44, karibuni niko dar, 0714495367, na 0768859089, na 0692940091
IMETUMIKA MWEZI TU
AT MINT CONDITION WITH 8 LATEST GAMES
4CDS AND 4 INSTALLED GAMES
-PES 19
-FIFA 18
-SHADOW OF COLOSSEUM
-FAR CARY 5
-BATTLE FIELD
-DESTINY
-ETC
EXCHANGE WITH SAMSUNG S 6 EDGE...
Kwa mahitaji ya vyumba na nyumba
Mawasiliano
Golani
Makongo
Msewe
Changanyikeni
Ubungo
Mwenge
Bunju
Sinza
Riverside
Kibo
Kimara
Wasiliana nasi kupitia :0769272733
Sent using Jamii...
Wakuu habari zenu,
Naomba msaada mwenye ramani ya nyumba yenye vyumba vitatu, na vitu vingine kama jiko, dinning, store,sitting, public toilet. Ila vyumba hivyo visiwe vimekaa korido moja na...
Habari wanajf!
Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza kuhusiana Na hiki ninachokiandika!
Baada ya kuomba radhi naomba sasa nijikite rasmi kwa maada yangu! Naomba mwenye line ya M-PESA au tigo pesa...
Habari zenu wakuu. Ninatafuta vifaa vya uandishi wa habari kwa ajili ya kufanya shughuli za uandishi wa habari binafsi " Private Journalism". Ninataka kuwa na vifaa kama camera(...
Natafuta kiwanja maeneo ya mabwepande, Goba, Msumi au Dar es salaam kwa ujumla.
Offer ni m6
Nipigie kwa 0716605136
Kama wewe ni tapeli; usijaribu kupiga simu
NDUGU ZANGU NATAFUTA CHUMBA NA SEBULE SELF CONTAINED...MAENEO YA MBAGALA KARIBU NA ZAKHEM MAENEO HAYO YA MBAGALA RANGI TATU...
KAMA KUNA MTU ANATARAJIA KUHAMA KUANZIA MWEZI WA TATU ITAPENDEZA...
Ndugu zanguni naomba msaada kwa anayefahamu duka mabalo bado linazo Tecno PhonePad 3 au Muuzaji mwenye nazo hadi sasa. Nahitaji mpya kama ikiwezekana kwa matuizi ya ofisini lakini kama kuna OFA ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.