Habari wana JF
Niko Marekani na nataka order za wafanyabiashara wa mitumba.
Container la 20ft viatu vya kike na kiume mchanganyiko wa raba, mocasin na vya mitoko ya jioni ya wanawake
Pairs...
Nina machine ya photocopy IR 3300 saa hii kitu imevunjika kama kuna mwenye nayo naomba aniuzie,maana sipigi copy kabsa bila ya hii kitu,inaitwa paper deck(sina hakika kama ndio jina lake) ila...
Why Investing In Fumba, Zanzibar?
• Full 99 year title deed granted to every purchaser from all nationalities around the globe.
• Unique seafront location within a free economic zone.
•...
Kwanza kabisa asanteni kwa ushirikiano mkuu mlioonesha wakati nauza apple mac book air kwa promotion ilikuwepo moja na hakuna namna ambayo wote mngepata hivyo kuna mmoja wenu aliongeza dau...
KARIBU UAGIZE GARI KWA GHARAMA NAFUU KUTOKA AUTOCOM JAPAN--(tupo mtaa wa samora Karibu na jengo la Jmall
.
Toyota Probox |2004
2wd |cc1490
Grade-GL
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••...
Jamani Mwenye kufahamu wanapouza mifuko ya Nairobi kwa bei ya jumla plz naomba anifahamishe,nimefanya juhudi ya kutafuta lakini sikufanikiwa nikaona nije humu jf huwenda nikafanikiwa.
Sent from...
Nauza Unga Wa muhogo,bei ya kilo moja ya Unga Wa muhogo safi ni shilingi elfu moja tu,na umepakiwa katika Vifungashio Vya kilo tano tano kama inavyoonyesha picha hapo chini,tunatuma mikoani,namba...
Transformer mpya Mbili zinauzwa
33kv 1000kva -400V
33kv 50 kva -400V
Zilinunuliwa kwa Ajiri ya projects,
Sasa hakuna tena Project zinauzwa
Karibuni Wadau......
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wandugu!!!
kama nilivyoandika kwenye title! Nahitaji printer inayo weza tumika kwaajili ya biashara
printers iwe vigezo vifuatavyo
1 iwe laserjet printer
2 iwe colored
3 iwe na uwezo wa...
Nauza Laptop Yangu Hiyo Nikiyokuwa Naitumia Kwenye Kazi Za Ufundi Laptop Na Simu.
Kwa Wale Wanaotaka Kujifunza Au Kuendeleza Ufundi Hii Itakufaa, Mimi Niliitumia Chuo Na Nilikuwa Nawapiga Piga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.