Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Mwalimu wa masomo tajwa hapo juu anapatikana anauzoefu wa miaka miwili katika kufundisha A level na O level.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
OFFICE ASSISTANCE JOB VACANCY COMPANY:SUN SHINE GROUP LIMITED LOCATION:Morocco near Airtel building POST/POSITION:Office Assistance QUALIFICATION: · Male by gender ONLY ·...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
wadau, je ni kweli interview ya TAs imeanza kufanyika Udom? Sijaona shortlist bado, bt nasikia kuna kada zimeanza kufanya mwenye kujua anijuze plz
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wana jamvi mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya Development Finance and Investment Planning katika Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini kilichopo mkoani Dodoma nilimaliza chuo mwaka...
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Ni mbunifu wa utengenezaji wa vitu mbalimbali kama vile ni mbunifu wa kutengeneza kadi za mialiko ya sherehe na misiba mbalimbali kama vile kadi za harusi, sendoff, kitchen, kipaimara n.k Na ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Company: Vipaji Link (T) Ltd Position: Store Keeper (4 Post) Location: Dar es Salaam, Qualification: Atleast Diploma in Store Keeping or any related field, Experience: Atleast two years, Deadline...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Mshahara wa unicef gs5 ni kiasi gani?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
MIMI ni mhitimu wa shahada ya ELIMU BA EDUCATION mwenye uzoefu wa wa miaka 2 natafuta shule au chuo cha ualimu niweze kufundisha masomo ya Geography na history. nipo DSM.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mkuu wana JF, Toka tarehe 10 Sept. hadi 10 Oct. ni mwezi sasa umepita toka deadline ya job pale udom ipite. Kimyaa hiki cha bila watu kuitwa katika interview kinaibua maswali mengi hasa ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hapa kwetu ARU Interviews za kazi mbalimbali zinaendelea! Katika hali isiyo ya kawaida tukajikuta tumeitwa watu zaidi ya 200 kuhudhuria mtihani wa mchujo, wengi wetu tukiwa tumetoka mikoani...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habarini zenu wanajf,naomben kufaham mkakati wa hawa jamaa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nipo idle tangu mwez wa saba nimeshaaply kazi zaid ya sehemu 20 sijapata hata moja nimejichokea maisha magum dah! nimekuwa nayaona:wof:
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndugu zangu tuliofanya usaili wa mtihani wa kuandika nafasi ya Sumatra Consumer Education Officer nauliza kama kuna ambaye ana taarifa za kuitwa hatua inayofuata.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Are you a french Teacher? Your chance is here. Location is Tabata. Salary is resonable. Call 0713810857 or 0753810857 under supervision of Teachers Junction
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Administrator, (Requirement: at least Bachelor degree in Business Administration) 2. IT technician, (Requirement: at least Diploma in IT) 3. Receptionist.(Requirement: at least Certificate in...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu! Baada ya kukaa na hii private kampuni kwa miez zaidi ya probation period waliyonipa wakiwa wananipa allawance tu, leo wamenipa barua ya kazi rasmi niisome nikiridhia ni sign. Hii...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana jf kuna mtu anahtaj muhudumu(msichana) wa pub na fastfood haraka sana. Eneo iliyopo hyo fastfood na pub ni victoria karibu na hospitali ya kairuki.Vigezo vya mlengwa awe na physical...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba nijulishe juu ya oral interview ya Advans Bank kwa nafasi za Teller,Client Officer na Assistant Client Officer kama wameshatoka na kuna walioitwa baada ya Oral interview. Naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanahitajita wafanyakazi sita wa supermarket wawe na uzoefu usiopungua miaka 3 katika kazi ya supermarket/ au duka kubwa awe ni mtu anaye weza kujisimamia mwenyewe kufanya stock analysis na...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Waungwana samahani! naomba mnisaidie kama kuna yeyote anayejua lolote jipya kuhusu zile nafasi za National Facilitators walizotoa hao jamaa wa wizara ya Habari vijana michezo na utamaduni mwezi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…