Habari wakuu,naomba mwenye taarifa kuhusu mafunzo yao ya septemba anijuze manake naona kimya sana na muda unakatika na watu tushatoa ada ya mafunzo.
Nawasilisha.
Jamani mie natafuta kazi ya graphics design na visual editing! Nina uzoefu wa kutosha na ujuzi! Nafanya animation na 3D kwa ufasaha! Mwenye kujua anitumie e-mail: martinzabron@yahoo.com
OFFICE ASSISTANCE JOB VACANCY
COMPANY:SUN SHINE GROUP LIMITED
LOCATION:Morocco near Airtel building
POST/POSITION:Office Assistance
QUALIFICATION:
· Female by gender
·...
Nafasi za kazi zilizotangazwa May 28,2012 pamoja June baadhi ya hizo mpaka sasa hawajaita waombaji kwenye usili. Swali:Kwanini hawa jamaa wanatangaza nafasi za kazi kabla hawajajipanga? Tunatakiwa...
Naomba kuuliza, hivi vijana wote tusio na ajira na serikali inatuangalia kwa furaha tu mwaonaje tutafute njia mbadala ya kuieleza jamii kuwa tuna shida?Nayaandika haya kwa sababu tupo hatarini...
I am a Tanzanian Young man,aging 25,expecting to graduate in 23rd July from University of Dar es Salaam School of law,Bachelor of Laws(LL.B)
I am humbly looking for an opportunity of employemnt...
SALESMAN JOB VACANCY
COMPANY:SUN SHINE GROUP LIMITED
LOCATION:Morocco near Airtel building
POST/POSITION:Salesman
QUALIFICATION:
· Full time experience at sales ground
·...
Wadau nimepata email kutoka kwenye hiyo kampuni HD CO LTD iko Arusha ila mimi nina wasi wasi na hawa watu mimesearch kila mahali sijaiona hii kampuni alafu still wanatwambie tulipe tsh 10,000...
Habara wanajukwaa, naomba kama kuna mwenye updates za kazi za hawa jamaa walizotangaza hv juzi juzi kama wameshaita au bado. nimeshafanya nao interview na wakanijibu kuwa watatuita soon bt kimya...
Central Line Research Associates Tanzania is a registered company with researchers with multi-disciplinary backgrounds, highly skilled in both qualitative and quantitative research methods. The...
wakuu naombeni msaada wenu, kuna nafasi za vodacom watu walifanya interview mwezi uliopita,
tatizo langu ni kuwa kuna kijana wangu ninaishi nae, na alimaliza chuo 011, mda wote hajabahatika kupata...
Wanabodi, natamani sana kufanya kazi mkoa wa Katavi. Mwenye links za huko anihabarishe. Kuhusu aina ya kazi, various - education, administration, banking, research, etc. A pm will be ideal.
We are urgently recruit interns who will be Microfranchising Pilot Project Officer and responsible to facilitate activities for the Microfranchising Pilot Project based in Arusha, to produce...
kufuatia kauli alotoa naibu waziri wa elimu kua ajira mpya za walimu ni january sawa,sasa nauliza je ni vigezo gani wizara inaangalia kuajiri walimu hao hao katika vyuo vya ualimu vya...