Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Mwenye information kuhusu hii company naomba anisaidie. Walitangaza kazi za Research assistant kwenye zoom wanataka nicomferm kazi lakini nilipe 10,000 kwa mpesa au tigopesa! sijawaelewa hapo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ingawa inahitaji registration but i think its worth it, wanaweka latest and real jobs, nilitaka nicopy na kuzileta hapa Jamvini lakini zikanishinda wakuu. Hebu jaribu na wewe kutupia macho huko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MTAFUTAJI:SUN SHINE GROUP COMPANY ENEO(UKUBWA):7000 SQUARE MITA MPAKA 10000 SQUARE MITA MADHUMUNI/LENGO:KWA AJILI YA GARAGE YA MAGARI SIFA YA ENEO:LIMEZUNGUSHIWA UZIO NA NDANI PAWE PANA VIOFISI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Location: Dar es salaam mjini kabisaa Siku za kazi: 6 kwa wiki Kazi kuanza: hata kesho kwa anayestahili Pia kuna nafasi za kulala kwa wahudumu wa kike. Yeyote aliye serious au mwenye mtu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
watanzania wenye moyo wa huruma niwezesheni kazi (part time) ya kufanya hali ni ngumu kwa sisi wazazi ambao hawakuwa na kitu na pia wakatutoka mapema, hata sehemu maalum ya kuishi ya kujivunia...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Wakuu heshima yenu na poleni na majukumu. Mimi ni msichana mwenye degree na diploma tajwa hapo juu, ninaishi Dar es Salaam, natafuta kazi. Naombeni naombeni ushauri na msaada wenu. Natanguliza...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
COMPANY:SUN SHINE TRANSPORTATION LIMITED NAFASI:DEREVA WA TRUCKS(MAGARI MAKUBWA) SIFA ZA MWOMBAJI:AWE ANAJUA KIINGEREZA,MZOEFU NA UENDESHAJI WA MAGARI MAKUBWA PAMOJA NA LESENI YA DARAJA IPASAYO...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Netset Co.Ltd ni kampuni ambayo imewekeza kwenye sekta ya ICT, inamilikiwa na na vijana wawili ambao wameamua kujiajiri kwa kufanya kaz za fani walizosomea. Kwa sasa ofisi zipo mkoa wa Ruvuma na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Professional: Diploma in Sales and Marketing with at least two years working experience.Forward your application,cv and copies of professional certificates to; johnmajaliwa10@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Hatimaye interuiew iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na iliyokuwa na ushindani mkubwa/assistant accountant-udom imemalizika. Kwa mujibu wa taarifa zilizo patikana kwa msimamizi wa usahili uwo mesema...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani waungwani mimi nimehitimu chuo kikuu mwaka huu, katika pitapita hapa JF, nikapata tangazo la kazi (Admission coodinator) kutoka kwa Distance Learning Support Network (DLSN) nikaomba na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu watanzania wenzangu. Katika hali isiyo ya kawaida, jana nilipokuwa ofisini kwangu mida ya saa tano na nusu asubuhi alikuja dada mmoja ambaye ni graduate, alikuwa anaonekana...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
jamani wadau mi ni graduate ila sijapata kazi nataka kuwa wakala wa m-pesa, tigo-pesa nimekopa mtaji nimeshapata ila nimekosa fursa ya kusajiliwa na huduma hii, nilienda tigo wakaniambia...
2 Reactions
24 Replies
14K Views
Mimi ni kijana nimemaliza degree ya sheria miaka minne chuo cha RUCO Iringa 2011, nimeangaika sana kutafuta hata sehemu ya kujiatachi nimekosa kabisa, kutokana na kipato kidogo cha familia yetu...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
COMPANY:SUN SHINE TRANSPORTATION LIMITED NAFASI:DEREVA WA TRUCKS(MAGARI MAKUBWA) SIFA ZA MWOMBAJI:AWE ANAJUA KIINGEREZA,MZOEFU NA UENDESHAJI WA MAGARI MAKUBWA PAMOJA NA LESENI YA DARAJA IPASAYO...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nipo dar nasoma chuo kikuu kimoja hivi hapa mjini,natafuta kazi yoyote hapa mjini iliyo halali kwa part time,tafadhal msaada katika hili ili niongeze kipato.kama upo serious ni pm au reply...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
PROGRAMME PERSONELL OFFICER [18 POSTS] MIICK EDUCATION TANZANIA LIMITED Date Listed: Nov 10, 2012...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Company:SUN SHINE TRANSPORTATION LIMITED Post:Truck driver Location:Morocco near Airtel building Dar Es Salaam Qualifications:Not less than 2 years driving experience, Posses...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
si jambo la kuficha kwamba nchi yetu imekua na tatizo la ajira kwa vijana ingawaje wengi wao wana elimu ya kutosha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilituma maombi, nikapata email kwamba natakiwa kufanyiwa online assessmnets katika vitu vifuatavyo: 1. Abstract reasoning test 2.. Numerical test 3. Work related strength assessment wadau...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom