Wadau kama kuna school yoyote hapa DSM nipeni mchongo nikapige kazi ya kufundisha chem na biology nina BSc with education....................​waweza kuni PM
hellow wadau kama week moja iliyopita nilifanya interview kampuni ya multchoice(dstv) nafas za sales na nimefanikiwa kupata na tunatatikiwa kwenye training tarehe 23/11/2012, naomba anayejua...
Wadau,
Mimi ni kijana niliye maliza kidato cha sita (6) mwaka huu. Kama kuna kazi yoyote ambayo unahisi inanifaa naomba tuwasiliane kwa mawasiliano zaidi.
Natanguliza shukrani.
Napenda kutoa ushauri kwa mtu yeyote anayetaka kufanya kazi nje ya Tanzania (Middle East, Europe, USA, Australia na Asia) ni kwamba kazi zipo hila watanzania wengi hatuna utamaduni wa kutafuta...
Wana jf hawa jamaa walitoa nafasi ya kazi data entry nikaapply via email, wamenijibu kama hivi;
Dear Applicant: Thank you for submitting an application for the data entry position with...
JAMANI KWA YEYOTE ALIYE APPLY KAZI UBALOZI WA KANADA NAOMBA MSAADA JINSI YA KU APPLY MANAKE WAMESEMA
HII NDO JISI YA KUAPLAI
Application Instructions:
Please send electronically your...
jamani kilicho tokea leo temeke liwe fundisho kwetu vijana mke wa mtu ni sumu mbaya ambayo ikikupata hakika huponi hata chembe! jamaaa imemtokea poani leo..
Heshima mbele wana'JF naulizia vipi kuhusu nafasi za kujiunga jwtz &jkt kwa professionals. Kwa karibu mwaka mmoja sasa nimekuwa nikifuatilia humu JF na information zilionyesha kwamba wangetoa...
Natafuta cashier katika duka langu la jumla la vinywaji na Luku lililopo Ubungo river side.
muda wa kazi ni: tano asubuhi mpaka saa mbili jioni.
kigezo cha chini Muhitimu a form four tafadhali...
World Vision is a Christian Development, Relief and Advocacy Non Government Organization dedicated to working with children, families and communities to overcome poverty and injustice. World...
Sehemu ya kazi ni Mbezi Beach-Dar es salaam.
Awe na umri kati ya miaka 22 na 30
Awe na uzoefu wa kazi za ndani na kulea mtoto wa mwaka mmoja.
Awe anajua kanuni na sheria za kazi kama mfanya kazi...
MARKETING AND ADVERTISEMENT AGENT
BORNAGAIN FILMS PRODUCTION through its weekly news paper (TANURU LA FILAMU) is looking for right candidates to fill the post as Marketing agents/...
Wana jf kuna nafasi za kazi kadhaa zimetangazwa kwenye daily news ya leo tar 6 febr,kwa anayeweza azipost hapa kwa ajili ya wale watakaoshindwa kupata gazeti
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 25, nmesoma hadi kidato cha nne nina uzoefu kwenye matumizi ya computer, nmefanya kazi stationary miaka 3, nkawa secretary kwenye kampuni moja ya usafirishaji...
Barua ya mhitimu Mzumbe University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi hapa ofisini.
...........nawaibia kidogo tu!
"....... I has a bachelar in accounts and finance...."
Wadau kwa mara nyingine tena Benki ya Wanawake (TWB) inawatangazia nafasi za kazi.
Waweza tuma kwa Posta ila pia waweza kupeleka pale mapokezi kwao. Strictly kazi hizi ni kwa watu walio...
Requirements:
Full technician certificate (FTC) from recognized technical college
Technical certificate from other technical or polytechnic institutions (including VETA)
Minimum 3 years of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.