Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wana JF, nimeckia kuna watu wameshaanza kuitwa kwenye interview udom, naomba kujua ni watu wa post gani na ni lini labda wataanza kuita watu walioapply Academic posts coz mimi ni miongoni mwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi... Natafuta nafasi ya kazi yeyote ile kwenye Idara ya ICT ya kampuni au shirika lolote. Nina Diploma in Computer Science from University of Dar es Salaam (2008). Nina uzoefu...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Poleni na uchovu wa kazi member wa jf. Naomba aliyewahi fanya interview ya kazi ya research katika hospital binafsi naomba anisaidie vitu vya msingi ambavyo wanauliza kwenye interview. Thanks
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni ukweli kuwa tupita kipindi kigumu sana katika kutafuta ajira, na maombi mengi tunayatuma na wala hatuitwi kuja kufanya interview, na wakati huohuo maisha ni magumu kwa namna hii mtu lazima...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wadau baada ya first phase kuelekea ukingoni hapo kesho..second phase itakuwa shortlisted soon... wanajamii forum jiandaeni mana wale wAzee wanauliza miswali khaa wanakaugomvi vile na wewe pitia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The United Nations Democracy Fund invites civil society organizations to apply for funding for projects to advance and support democracy. Project proposals may be submitted on-line between 15...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Mwaka huu ndio unaelekea ukingoni, vipi zile nafasi za JWTZ professiònals mbona kimya?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Main requirement:Degree in Human Resource or Public Administration from a recognized University. Your cv to;johnmajaliwa10@yahoo.com
0 Reactions
2 Replies
987 Views
mimi ni msichana mwenye elimu ya form four, na nina certificate of elementary course in librarianship. pia nimesomea short course ya computer. na kazi ambazo nimewah kufanya nimewah kutoa huduma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina elimu ya diploma ya IT natafuta kazi inayohusiana na mambo ya IT NINA UJUZI WA KUTOSHA pamoja na UJUZI BINAFSI uzoefu wa miaka nimefanya field shirika la posta na ilala municipal council...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari waungwana Mwenzenu ni mjasiliamali hivyo nashughulika na mambo ya kutengeneza BATIK MATERIAL mbalimbali, kama kuna kampuni, watu, Ngo's wanataka kutengenezewa batik katika uniform zao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naomba mnipe binu ya jinsi ya kutafuta kazi kwa mtu ambaye ni fresh from school.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
INATANGAZA NAFASI ZA KAZI CASHIER NA SALES KWA UPANDE WA VODACOM M-PESA SIFA ZA MWOMBAJI: 1. AWE NA ELIMU YA KIDATO CHA NNE AU CHA SITA 2. AWE NA UZOEFU UPANDE WA MAHESABU NA AWE AMEWAHI...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari za kazi wakuu, nimefungua site hii kwa ajiri ya kuwa inspire watu wanaotafuta kazi kwa namna mbali mbali, ikiwemo tips za interview, jinsi ya kuandika CV nzuri, motivational letter etc...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nina shahada ya kwanza katika elimu,sera mipango na utawala (Bachelor of education in policy,planning and management) kama kuna mtu yoyote anakazi ya utafiti na anahitaji msaidizi au, mtu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu habari zen natafuta kazi yeyote inayohusiana na IT department.elimu yang ni ya certificate but nina ujuzi binafsi.msaada wenu tafadhali mi nipo dar
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
PSI Tanzania seeks a consultant to oversee the implementation of its qualitative and quantitative research portfolio. The consultant will manage the relationship with the local research agency...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nasikia NIDA wametangaza kaz ni kweli wanajamii
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Qualified person will be employed as a COLLEGE LIBRALY. REQUIREMENT: 1.'Diploma in libralian', 'Diploma in record management and libralian' or 'Diploma in information systems and record...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu nauliza hivi nafasi za kazi huko world bank na imf huwa zinatokaje na recruitment yao inakuwaje kuwaje? Kwa sababu nimejaribu kwenda kwenye website ya world bank kama nitaona...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom