Mwenye information kuhusu hii company naomba anisaidie. Walitangaza kazi za Research assistant kwenye zoom wanataka nicomferm kazi lakini nilipe 10,000 kwa mpesa au tigopesa! sijawaelewa hapo...
Ingawa inahitaji registration but i think its worth it, wanaweka latest and real jobs, nilitaka nicopy na kuzileta hapa Jamvini lakini zikanishinda wakuu. Hebu jaribu na wewe kutupia macho huko...
MTAFUTAJI:SUN SHINE GROUP COMPANY
ENEO(UKUBWA):7000 SQUARE MITA MPAKA 10000 SQUARE MITA
MADHUMUNI/LENGO:KWA AJILI YA GARAGE YA MAGARI
SIFA YA ENEO:LIMEZUNGUSHIWA UZIO NA NDANI PAWE PANA VIOFISI...
Location: Dar es salaam mjini kabisaa
Siku za kazi: 6 kwa wiki
Kazi kuanza: hata kesho kwa anayestahili
Pia kuna nafasi za kulala kwa wahudumu wa kike.
Yeyote aliye serious au mwenye mtu...
watanzania wenye moyo wa huruma niwezesheni kazi (part time) ya kufanya hali ni ngumu kwa sisi wazazi ambao hawakuwa na kitu na pia wakatutoka mapema, hata sehemu maalum ya kuishi ya kujivunia...
Wakuu heshima yenu na poleni na majukumu. Mimi ni msichana mwenye degree na diploma tajwa hapo juu, ninaishi Dar es Salaam, natafuta kazi. Naombeni naombeni ushauri na msaada wenu. Natanguliza...
COMPANY:SUN SHINE TRANSPORTATION LIMITED
NAFASI:DEREVA WA TRUCKS(MAGARI MAKUBWA)
SIFA ZA MWOMBAJI:AWE ANAJUA KIINGEREZA,MZOEFU NA UENDESHAJI WA MAGARI MAKUBWA PAMOJA NA LESENI YA DARAJA IPASAYO...
Netset Co.Ltd ni kampuni ambayo imewekeza kwenye sekta ya ICT, inamilikiwa na na vijana wawili ambao wameamua kujiajiri kwa kufanya kaz za fani walizosomea. Kwa sasa ofisi zipo mkoa wa Ruvuma na...
Professional: Diploma in Sales and Marketing with at least two years working experience.Forward your application,cv and copies of professional certificates to; johnmajaliwa10@yahoo.com
Hatimaye interuiew iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na iliyokuwa na ushindani mkubwa/assistant accountant-udom imemalizika. Kwa mujibu wa taarifa zilizo patikana kwa msimamizi wa usahili uwo mesema...
Jamani waungwani mimi nimehitimu chuo kikuu mwaka huu, katika pitapita hapa JF, nikapata tangazo la kazi (Admission coodinator) kutoka kwa Distance Learning Support Network (DLSN) nikaomba na...
Habari zenu ndugu watanzania wenzangu. Katika hali isiyo ya kawaida, jana nilipokuwa ofisini kwangu mida ya saa tano na nusu asubuhi alikuja dada mmoja ambaye ni graduate, alikuwa anaonekana...
jamani wadau mi ni graduate ila sijapata kazi nataka kuwa wakala wa m-pesa, tigo-pesa nimekopa mtaji nimeshapata ila nimekosa fursa ya kusajiliwa na huduma hii, nilienda tigo wakaniambia...
Mimi ni kijana nimemaliza degree ya sheria miaka minne chuo cha RUCO Iringa 2011, nimeangaika sana kutafuta hata sehemu ya kujiatachi nimekosa kabisa, kutokana na kipato kidogo cha familia yetu...
COMPANY:SUN SHINE TRANSPORTATION LIMITED
NAFASI:DEREVA WA TRUCKS(MAGARI MAKUBWA)
SIFA ZA MWOMBAJI:AWE ANAJUA KIINGEREZA,MZOEFU NA UENDESHAJI WA MAGARI MAKUBWA PAMOJA NA LESENI YA DARAJA IPASAYO...
nipo dar nasoma chuo kikuu kimoja hivi hapa mjini,natafuta kazi yoyote hapa mjini iliyo halali kwa part time,tafadhal msaada katika hili ili niongeze kipato.kama upo serious ni pm au reply...
Company:SUN SHINE TRANSPORTATION LIMITED
Post:Truck driver
Location:Morocco near Airtel building Dar Es Salaam
Qualifications:Not less than 2 years driving experience,
Posses...
Nilituma maombi, nikapata email kwamba natakiwa kufanyiwa online assessmnets katika vitu vifuatavyo:
1. Abstract reasoning test
2.. Numerical test
3. Work related strength assessment
wadau...