Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Company: Sunshine Group (T) Ltd Position: Mining personnel (20 post) Location: Chunya Mbeya and Dar es salaam Head office Qualification: Degree holder in related field. Experience: Atleast Two...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
If there is any institution which is looking for a qualified librarian in private organization/institution in DSM, please contact me via this JF platform. I'm available for the JOB. I have a first...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Nilituma maombi, nikapata email kwamba natakiwa kufanyiwa online assessmnets katika vitu vifuatavyo: 1. Abstract reasoning test 2.. Numerical test 3. Work related strength assessment wadau...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu marafiki... Kwa kifupi ninawazo la kufanya biashara japo mkononi sina pesa za kutosha. Nilipo mueleza baba leo amenipa hati ya nyumba yake nitafute mkopo benki. Sijui hata nianzie...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Kwa anaesoma mitihani hii ya u.k au anajua taratibu na bei zake please..!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nimeajiriwa na kusaini mkataba ila kazi ni ngumu sana nataka kukimbia.sijui mnanishaurije coz kuna wengine wamenishauri nisiache coz mtaani ni pagumu xana
1 Reactions
29 Replies
3K Views
heshma yenu wanajf kwa yoyote ambaye anaweza kupata gazeti la mwananchi la leo hii kuna post kudhaa zimetangazwa na:- TANAPA AICC nimeshindwa kupost hapa coz cmu yangu kimeo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari zenu wana JF naombeni ushauri, mimi ni bint wa miaka 24 mzaliwa wa shinyanga ila kwa sasa naishi arusha, naombeni ushauri maisha yamekua magum nilikuja arusha kutafuta kazi kutokana na hali...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu,naomba kwa anaejua mishahara ya hao jamaa huwa ni shiling ngapi,maana wameniita kwenye written interview kesho!
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Amenituma kumtangazia anatafuta kazi inayolingana na profession yake je ni mashirika au makampuni gani anaweza kupata ajira? Amamaliza kwenye chuo kikuu cha udom. Wanajamii forums mmekuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajamvi habari za majukumu? Kuna jamaa yangu mmoja ana bachelor, ameepata jamaa mmjoja anayefanya kazi ILO akamwambia kuwa kuna nafasi ya kazi kwenye upande wa administrative ila anatakiwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Unfortunately the deadline is tomorrow. Don't let the requirements put you off - you all have excellent qualifications to do research. Khulisa Management Services: Internship 2013...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu habari zenu nimekuwa ninaona mara kwa mara miradi inayofadhiliwa na world bank ya kimaendeleo kwa ajili ya kupunguza umasikini, ujinga na magonjwa duniani kote miradi hiyo ipo ya short...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Company:SUN SHINE GROUP LIMITED Position:Assistant Administrator Location:Morocco near Airtel bulding,Dar Es Salaam Qualification: Over 2 years of secretarial and clerical experience in fast paced...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama miezi miwili au mitatu Kilimanjaro International Airport walitoa nafasi za kazi katika nafasi tofauti tofauti...mwisho wa kutuma maombi ilikuwa September(?)..mpaka leo hawajaita?au mwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Niliomba kazi ya human resource pale udom, nafasi ni watu 9 lakini tuliokuwa shortlisted eti ni 712, jamani hii ni shortlist kweli au wanataka tukapoteze nauli zetu then mlacha awape kazi wapare...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Kwa wale walioitwa kwenye interview university of dodoma waangalie majina yao tena kwani kunalist imetoka baadhi ya majina hayaonekani, majina yaliyotoka mwanzoni yalikuwepo lakini list ya majina...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana Jf,hivi hii njia ya kusambaza cv ofisi mbalimbali hapa jijini kwa lengo la kutafuta kazi,hii njia ni sahihi kweli. Nasema hivyo kwa sababu mimi binafsi nimesambaza cv kwa wingi hapa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
heshma zenu wanajf hivi kuna mwenye taarifa kuhusu waletuliofanya interview terehe 2.11.2012??
0 Reactions
25 Replies
6K Views
please guyz, mnaombwa kuwa wakweli na wenye uhakika mnapo post nafasi za kazi maana watu tunahitaji post zenu kweli kama link yetu na waajiri...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…