jaman hvi kutakuwa na fairness kwel kwa kila mkoa kufanya usail kwa applicant wa mkoa husika ? je utmish wataweza ku cover mikoa yote ya usail au ndo watu wa mikoa husika wta endesha usail bila...
Kama kuna mwenye tangazo lililo kamili la hiyo kazi wadau, nimeiona zoom lakini jinsi ya kuapply hawajaweka(ipo tu ile ya kuapply kizoom zoom)!
Msada kwa aliyeliona tangazo please!
jioni ya leo nimetumiwa ujumbe mfupi na afisa wa jeshi la polisi makao makuu kunijulisha kwamba natakiwa kuhudhuria vipimo vya afya ktk hospitali ya polisi kilwa road dar es salaam.
Hivi ajira mpya za sisi walimu wa digrii tulomaliza mwaka huu mwezi june ni lini ama hizo post za vituo..na walomaliza diploma pia ni lini ajira zao..nawasilisha wakuu..
House Keeper
SUNDHINE GROUP LTD
Awe amesomea fani ya House Keeping katika chuo kinachojulikana
Cooker
SUNSHINE GROUP LTD
Awe amesomea mapishi katika chuo kinachotambulika
Pia kama umesomea mambo...
habari wanajamvi.nimepata kazi kampuni moja la kibinafsi ,na gross yangu ni sh 800,000(before tax).je baada ya kukata nssf na makato mengine ntapata ngapi hapo wadau.naomba mnijuze
Naomba kujulishwa kuhusu usaili wa written nhif uliofanyka kule ukumbi wa baraza la maaskofu
kurasini walishaitwa kwenye oral? manake ni kamda kamepita tokea usaili huo ufanyike.
Mtu unaweza kuwa...
Malimu mwenye uwezo wa kufundisha kifaransa katika shule za english medium anatafutwa.kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami.au tuma maombi yako email- rugumba2joseph@gmail.com
Hi
Am Currently working with one of the NGOs Here in Tanzania as an accountant.
I have have over five years Experience as an Accountant.
I do have a Bachelor Degree but Currently pursuing my...
THE OFFICE OF THE WHO REPRESENTATIVE IN TANZANIA ANNOUNCES THE FOLLOWING VACANCY.
The Mission of WHO is the attainment by all people of the highest possible level of health
POSITION...
Je unatumia nokia asha na inakusumbua katka kutumia kwenye mtandao Pilipili Print Solutons
Tunauwezo wa kusolv tatizo lako kwa bei nafuu sana wasiliana nasi kwa 0718888656 0752507004
Tupo...
A part-time pharmacist (registered by pharmacy council of Tanzania) is urgently required for supervision of a newly established pharmacy in Dar es salaam. Interested candidates please contact us...
Hellow wanajamii Forum mtu yeyote aliyekuwa tayari kufanya kazi Ngara(In Kabanga Nickel Mining) na mwenye sifa asome tangazo hilo.Sorry hilo tangazo nimetumiwa likiwa limegeuzwa.Read and Apply...
Baada ya kupata ufafanuzi mzuri wa maswali yangu ya mwanzo naomba kuuliza swali lifuatalo kama
Hivi huchukua mda gani katika sekretariti ya ajira toka usaili hadi kutangazwa matokeo ya usaili?
WAUNGWANA NAOMBA MSAADA WENU,
NAJARIBU KUFUNGUA HII DUCUMENT ILA KILA NIKIFUFUNGUA NAAMBIWA FILE ERROR.
NAOMBA MNISAIDIE KULIFUNGUA THEN KAMA UTAFANIKIWA UNIWEKEE HUMU.
FILE LIPO KWENYE...