Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

ASSISTANT TRANSPORT OFFICER: Awe amesomea maswala ya usafirishaji katika chuo kinachotambulika, awe anajua kuzungumza kingereza vizuri, awe na uzoefu wa kazi ya usafirishaji, awe ni dereva mwenye...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Salamu wakuu, nina bachelor ya wildlife management,please nahitaji volunteer opportunity. Naomba kuwasilisha wakuu au mnielekeze hata kwenye conservation NGO's zilizopo hapa arusha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
na Edson Kamukara BAADHI ya wafanyakazi wa kigeni kutoka mataifa mbalimbali hususan barani Asia, wameendelea kuajiriwa katika nyadhifa tofauti za juu kwenye hoteli kubwa za kitalii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
4 years or more experience in Outsource & Recruitment.Atlist bachelor degree,fluent in English and Swahili.Handsome salary will be offered.Send your CV at dicenmanagement@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza wakuu habari zenu..... Napenda kukupa habari hii ya nafasi za masomo katika shule moja ya jijini Upanga ambayo inaitwa Al-Muntazir Islamic Seminary(ALMIS), Shule hii inaongozwa na mashia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
We are looking for a General manager who will be responsible for running an outsource and recruitment firm in Tanzania.Kenyans are highly preferred, Experience of not less than 3 years is...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wanajamii ninauliza kama kuna aliyeitwa baada ya ule usaili wa DIT kwa graduate wa ICT, mwenye taarifa atajuze hapa jamvini.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna wadau ambao wameitwa kufanyiwa vipimo vya afya baada ya ule usaili wa awali uliofanyika DIT
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kufahamu wale wote walioitwa idara ya uhamiaji wanalipoti lini chuoni?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA 19-SEPT-2012, TECHNICIAN II CIVIL (TANROADS) EXAMINATION NUMBER SCORES...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Hivi ni vigezo gani zaidi ya maswali Sekretarieti wanaangalia katika kumpa mtu maksi ndani ya usaili? kipi ni kiwango cha kufaulu ndani ya sekretariti na ni kwa alama ngapi? ukiachana na alama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu ninaomba msaada jaman sijawahi kufanya usaili utumishi kwa wale wazoefu je mtihan wa kuandika huwa una base kwenye maswala gan au ni general questions? Pili mtihani wa mahojiano...
0 Reactions
23 Replies
14K Views
Head of Finance and Administration Division, P5 Head of Legal Division, P5 Legal Officer, P2 Principal Legal Officer, P4 Procurement, Travel and Stores Officer, P2 Senior...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa wale waliookuwa wanahitaji huduma ya ACCOUNT PACKAGES hususan quick book,tally sasa znapatikana hapa arusha kwa bei ya msaaaaaaaaada kabisa,coy yetu ya GLOBAL cleaners inatoa huduma hiyo tuko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi na kwa wale watafutao kazi kupitia ZoomTanzaia Leo katika searching yangu ya kampuni fulani kwa kutumia google nimekutana na CV ya mtu fulani ya mtu ambaye namfahamu. Sasa nikahisi...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
FINANCE AND ADMINISTRATION MANAGER The East Africa Law Society (EALS) is a professional Lawyers' Association in Eastern Africa with membership around the East African Community (EAC). It brings...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimeshapata part-time somewhere, hivyo hamna haja ya michango yeni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada wa kupata sehem ya kujitolea(nna degree ya accounts).iwe hapa Dar es salaam.Natanguliza shukrani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Zipo changamoto nyingi nyingi wengi wetu tumepitia na bado hatujafanikiwa kupata kazi ila wapo walopitia hzo misukosuko,
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawapongeza secretariet ya ajira nchini ilivyoonyesha umahiri na uwazi katika interview zilizofanyika mwezi wa nane! Jamaa wako fair tusidanganyane! kuanzia kwenye writen interview hadi kwenye...
4 Reactions
54 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…