mi sielewi utaratibu wa tume ya ajira kwenye kuita usahili
1)wanaita kulikana na tarehe ya tangazo yaani FIFO?
2)wanaita kulingana na na kipaumbele cha kazi yenyewe?
3)wanaita kulingana na...
Mwenye project yoyote ile ya technology kama vile PHP,java, MYSQL IOS Android(mobile application)
tafathali piga 0719970343 hata kama unataka training au support (Cisco, Open source softwear...
Aliyetayari kubadilisha kituo cha kazi kutoka sehem zifwatazo: PWANI,KIBAHA,BAGAMOYO,WILAYA YA TEMEKE kwenda halmashauri ya CHATO, ani pm.SPECIFICALLY AGRICULTURE OFFICER II (afisa kilimo II)...
kuna nafasi ya kazi nimepata sudan,kwa kuunganishwa na mtu lakini wananiambia natakiwa nimpe huyo mtu laki tano baada ya kupata ticket ya kwenda huko sudan kuanza kazi,na malipo yatakuwa ni US$...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Xavier Daudi amesema ofisi yake hivi sasa itakuwa ikitoa ratiba ya usaili mapema kila mara ili kuwawezesha wasailiwa kuwa na muda wa...
Mwenye project yoyote ile ya technology kama vile PHP VOIP MYSQL IOS Android
tafathali piga 0714827339 hata kama unataka training au support (Cisco, Juniper, Open source softwear distro yoyote...
ni mwalimu mzuri wa biology na chemistry O level, nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka 2 nataka kuhama hapa nilipo, naomba mwenye msaada awasiliane nami kwa pm,nawashukuru nyote
Mimi ni kijana wa kitanzania, ,miaka 25, nina degree ya Accounting and Finance 2011..Natafuta sehemu (kampuni au taasisi ) ntakayo weza kujitolea, kufanya part time au kazi kwa mda ili kuweza...
Kwa wale waliomaliza shahada ya ualimu (especially wale wanaofundisha physics) katika vyuo vinavyotambulika na bado wanasubiri kupangiwa nitafute nikuunganishe na shule moja ya private -iringa...
Nafasi muhimu kwa ajili ya mjasiriamali zipo
Tunafanya Business na kampuni kubwa duniani ambayo ina matawi mengi sana na kwa Tanzania yapo matawi matano.
Aina ya Business: Multilevel Business...
Wakuu,
kuna jamaa yangu ameitwa kwenye round ya pili ya interview EAC sasa wamempa fomu ajaze pamoja na mambo mengine Mshahara anaohitaji. Anaomba ushauri wa range kwa mtu mwenye Masters Degree...