Vacancy- Re-advertised
An interesting vacancy for accountant with Strong Sales and Marketing background is available at an IT firm specializes in marketing, sales and marketing of the custom...
Wakubwa naombeni msaada wenu mi nna degree na nna experience ya miaka miwili kama loan officer,naomba mwenye kuweza kunisaidia jinsi ya kupata kazi. shukrani.
The aim of the applied research project is to explore how social protection systems are and should be designed to guarantee the inclusion of persons with disabilities. The project will consist of...
Naimani nyote mu bukheri wa afya,bila kupoteza muda mi naomba mnishauri nina diploma ya International relations and diplomacy kutoka pale chuo cha diplomasia kurasini.Then nimemaliza mwaka huu...
1. Instructors in web design and database principles:
Qualifications;
-Must have Advanced diploma in Computer science/ Bsc. in computer engineering & IT/ Bsc. in Computer science/ Bsc. in IT...
Wadau kuna kazi zilitolewa na hawa NIT (National Institute of Transport) ila hadi leo ni kimyaaaaaaaaa na nimepata taarifa kutoka ndani pale ni kua wako katika mchakato wa KUCHAKACHUA.
TUFANYEJE?
Kwa wale waliofanya usaili na hawa jamaa wa COASCO, katika nafasi za assistant Auditor na Auditors II Tarehe 16/8/2012 pale Dodoma, vip majibu yao wakuu? Walishawaita watu kazini au bado tuendelee...
Kwanza nipende kuchukua fursa hii kuwa mm ni mmoja wapo walioshiriki kufanya written interview na oral interview,kiukweli mtihani ulikuwa wa kawaida ila ilikuja julikana kuwa kuna watu wao tayari...
naomba wana jf mnisaidie ujanja wa kufanya nnapokutana tena na swali kama hili maana nilipigiwa cm na kampuni inaitwa coseke ipo benjamini mkapa tower niliwahi kutuma maombi,nilianza kujiandaa...