Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Naomba mwenye kujua hii scale ya pgss 13 ni mshahara wa kiasi gani?
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Mimi nimemaliza kidato cha nne miaka ya tisini. sikufanikiwa kuendelea na masomo kutokana na matatizo ya kifamilia. Na sasa nina familia tayari swala la kurudi shule naona kama ni gumu kidogo...
2 Reactions
36 Replies
14K Views
mimi ni mwanafunz wa mwaka wa 3 nasoma education(history,kiswahili)naitaj tempo ya kufundisha ila iwe arusha mengne ttaongea
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jaman watanzania kuna sponsor kwa ajili ya wanawake na wale wote wenye ulemavu kusoma hapa nchini, Tafadhali mjulishe ndugu yako afungue website ya Utumishia http://www.utumishi.go.tz au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenyekujua jinsi ya usaili wa mtihani unavyokuwa wa tume ya ajira.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hello wana jf?natumaini mu wazima.Naomba msaada wa kujua kiwango anacholipwa project coordinator.Najua humu kuna watu wa nyanja mbalimbali watanipa mawazo.ahsanteni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Are you an experienced Internal Auditor?CPA(T) holder?motivated to work with an International Organization and with at least 4 years working experience ? If Yes!confidently apply to World Vision...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za majukumu ndugu zangu nilikuwa naomba mwenye taarifa kuhusiana na nafasi ya kazi ya IT SPECIALIST wa TRA SACCOS tulio fanyaga interview pale TRA katika chuo chao cha kodi kilivhopo mwenge...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A publishing company in Dar es Salaam is looking for a graphic designer: Requirement: Competent with Adobe Suit Case, In design, Photoshop, Illustrator. Period: One month, and operating...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Links za nafasi mbali mbali za kazi: AJIRA TANZANIA 2. Writing Good Cover Letter: COVER LETER | AJIRA TANZANIA 3. Writing Good Curriculum Vitae WRITING CV | AJIRA TANZANIA 4...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Heshima mbele wakuu,mwenzenu natafuta kazi customer care,reception or office attendant nina diploma,iwe sehemu yoyote Moshi,arusha kokote na nina ujuzi wa computer. Naombeni msaada wakuu,nawasilisha!
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Heshima mbele wakuu,mwenzenu natafuta kazi customer care,reception or office attendant nina diploma,iwe sehemu yoyote Moshi,arusha kokote na nina ujuzi wa computer. Naombeni msaada wakuu,nawasilisha!
0 Reactions
0 Replies
871 Views
ANGALIA JINA LAKO HAPA CHINI NA PIA KTK PDF FILE ATTACHMET 1 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/C/19 27 Julai, 2012...
0 Reactions
0 Replies
13K Views
I am a Tanzanian man aged 37 years, who recently completed a degree course in Bachelor of Education in Arts, where I majored in English and minored in Geography. I have more than 10 years...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wrong room
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ofisi zao ziko pande gani??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nina masters ya water Engineering toka huko ughaibuni,sasa baada ya kutua bongo,sijui bado michongo ya kazi inakuwaje,Please anayeweza kunipa hata ushauri nianzie wapi ani-PM manake nimekaa...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wadau hii kweli ni haki?tangu waalimu waajiriwe february hadi leo hawajalipwa pesa za nauli,mizigo na wategemezi wao huku wakipigwa danadana wasijue nn cha kufanya|ama kweli inatia uchungu by...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna organization nimepigiwa simu nimeitwa kwa interviw inaitw CREATIVE MIND ASSOCIATION. Niliona tangazo lao zoom nituma Cv yangu wamenipigi interview itakuwa HOLIDAY INN. nomba msaada kama kuna...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…