Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Nimeitwa kwenye interv. Next wk na tume ya mionzi Arusha, plze naomba yeyote anayeifahamu vizuri anijuze, nini maana ya mshahara wa PRSS 1 na sh. Ngapi? Kuna maslahi gani mengine tofauti na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wakuu vp wilaya ya ilala washabandika majina ya sensa maana nasikia tu kawe,ndugumbi na kwingineko ila sijasikia kata ya yoyote ya wilaya ya ilala,jamani kulikoni huku ilala?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
natanguliza shukuran naomba kwa anae jua huwa anafanya kaz zipi kwenye company wwote
0 Reactions
0 Replies
984 Views
jamani naombeni update za majina ya sensa kama yameshatolewa kwa hapa dodoma mjini yamebandikwa wapi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa mujibu wa tangazo la nbs mwisho wa kuwasilisha fomu za maombi ya kazi ya muda ya sensa ilikuwa ni tarehe 25/7/2012 kali ya mwaka ni pale nilipofika ofisi ya jiji mwanza na kukuta tangazo...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Napenda kuwataarifu wale wote waliosomea (I.T) kwamba kuna nafasi zaidi ya 9900 ambazo zinapatikana kwenye kampuni ya (RET)mob security na pia inatangaza kutafuta mawakala nchi nzima.wanapatikana...
2 Reactions
30 Replies
7K Views
Jamani naomba mnipe ushauri: Toka nimeanza kutuma maombi ya kazi katika taasisi mbalimbali za ummma na binafsi sijaitwa interview hata moja. Nilipoongea na rafiki yangu mmoja akaniuliza kama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Call for interview for Internal Auditors, Accounts Assistants, Assistant Accountants, Accounts Technicians, Senior IT Analysts, IT Analysts and Park Rangers Changamkeni wakuu
1 Reactions
14 Replies
8K Views
Wako kimya au ndo wamepeleka ndugu zao mikoani ili wakimaliza miezi6 warudi Dsm kama walivyofanya previous????? Kama tayari mliitwa semeni ni nifute kwenye kumbukumbu zangu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yap wanajamvi,nimemaliza udsm civil engineering leo tar 18 june 2012..natafuta kazi wandugu,wenye info anijuze..email yangu gannzowa@yahoo.co.uk .thanx
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ooooooooooooooooooooooooooooooooooook
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Kumekuwa na manung'uniko ktk kata yetu ya ndugumbi magomeni juu ya uchaguaji wa makarani wa sensa,Mtendaj wa kata kaweka watu wake na pia watendaji wa ccm!Nchi inakwenda wp?Na baadh ya waliopata...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
wadau na wanajf kwa ujumla,anaomba juwajulisha kuwa kwa wale walioomba nafasi za ukarani na usimamizi wa sensa majina yamebandikwa ofsi za watendaji wa kata na kesho ni siku ya usaili hasa kukagua...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Tume ya ajira wameita watu kwenye interview kwa nafasi mbalinbali tarehe na mahali tofautitofauti. Je? Sio kwamba wanaturudisha kwenye kile tulichokikimbia na hata tukaanzisha secretariat ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mwenye email address ya HR wa IPTL naomba msaada.thanks
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi tangazo waliloweka katika mtandao wao ndio linawahusu walioomba kazi zilizotangazwa tar 28 mei?au kuna wengine waliomba kabla? Tusaidieni sisi tuliopo huku garijembe maana isije tukastuka...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
nataka kuuliza je majibu yanatoka lini kwa walioomba kazi ya ukarani coz kazi rasmi inaanza tarehe sita...nawasilisha
1 Reactions
57 Replies
9K Views
Natafuta kazi ya fundi sanifu msaidizi wa maabara, kwa sasa nipo bila kazi baada ya kumaliza mkataba wangu na project ya kimarekani iliyokuwainajishughulisha na utafiti wa malaria. Nina experience...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
TANZANIA NATIONAL PARKS CALL FOR INTERVIEW Tanzania National Parks (TANAPA) is a Parastatal Organization whose mandate is to manage and regulate the use of areas designated as National Parks...
0 Reactions
4 Replies
21K Views
Back
Top Bottom