Ndugu wana jf naomba kwa yeyote aliyeripoti kwenye kata kwa ajili ya usaili wa kazi za ukarani wa sensa mtujuze nini kinaendelea.vigezo gani wanataka na maswali wanayouliza.huku mikoani bado kimya.
Naomba msaada wapendwa, anayefahamu vizuri hii tume ya mionzi, kwani nimeitwa kwenye usaili next wk, na wanasema kwa nafasi niliyoomba mshahara ni PRSS 1, nini maana yake? Na vp maslahi mengine...
Hivi jamani inaingia akilini kweli pale ambapo viongozi wa serikali wanaposhindwa kuwaeleza wananchi umuhimu wa sensa na kuishia kuwapiga mkwara kuwa watakwenda jela miezi sita au faini lakini...
Wakuu ikitokea wewe au mimi mwenye degree tukakosa/nikakosa nafasi ya kazi ya SENSA alafu form six and form fours wakapata,what is going to be your opinion?
wakuu mimi ni mmojawapo kati ya walioitwa kwenye interview ya Accounts assistant na TANAPA, sasa this is my 1st interview, wataalam na wazoefu wa hizi vitu naombeni ma skills ili nikachukue ofisi...
jaman msaada hivi swali la mtu kujiintroduce mwenyewe lapaswa kujibiwaje?
na nisaidien link ya kutafuta maswal na majibu ya interview,msaada tafadhali!!!
jamani huu ni uhuni ulioje, . .
Ofisi za manispaa ya morogoro mjini ndiko watu walipochukua fomu za kazi ya muda ya sensa kama ilivyo,sasa tupo katka ofisi hzo kama eneo letu la field na sisi...
not later than 7th August 2012
NATIONAL UNV INFORMATION TECHNOLOGY SPECIALIST
Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA)
The United Nations Volunteers is the UN organization...
polen na kazi. juzi wilaya ya Rungwe Tukuyu walibandika majina ya wasimamizi wa zoezi la sensa. baada ya siku 2 taarifa zikaja kuwa majina hayo yalikuwa batili kwa sababu waliwaweka walimu...
Kwa yeyote anayehitaji MACHINE ya aina yeyote ile, tuwasiliane hapa hapa JF nitampa mwongozo wa jinsi ya kunipata au kuipata, kwa aliye serious anitumie mawasiliano yake kwenye PRIVATE MESSAGE...
jamani dah natafuta kazi nasoma open university bacherol of education.a level nimemaliza azania sec. nipo ready kwa kzi yoyote yenye malipo mzuri.naitwa ibrahimu a. daud contact 0717-927771
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.