Position Description:
World Vision Tanzania is seeking to recruit a suitable candidate to fill the following position :( Tanzanians only)
Job Title: Administration Assistant (2 positions)...
natafuta kazi ya kuwa match analyst wa mechi za ligi kuu ya tanzania. ningependa kuwa mchambuzi wa mechi zitakzochezwa ili zichapishwe kwenye magazeti na mitandao ya michezo....
Nafasi muhimu kwa ajili ya mjasiriamali zipo
Tunafanya Business na kampuni kubwa duniani ambayo ina matawi mengi sana na kwa Tanzania yapo matawi matano.
Aina ya Business: Multilevel Business...
Kuna kijana mmoja alitokea hapa kwenye kibarua changu akanielezea anahitaji ajira. Akaacha wasifu wake CV nikapitia nikaona ana degree Bachelor of Business Administration kwa mujibu wa CV. Sasa...
wana jf,naombeni ushauri/msaada wenu nna degree procurement+cpsp but mpaka sasa hivi sijapata ajira ya kudumu,niliajiriwa kwa mkataba kampuni moja ya serikali wakaniahihidi kibali kikitoka...
Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya Utumishi wa Umma. Kutokana na kazi nyingi kutangazwa kwa vigezo vya uzoefu,nimeamua kutafuta pahala nikajitolee nipate uzoefu angalau kwa mwaka mmoja ambapo...
Wana JF, naomba niwashirikishe uzoefu wangu japo kidogo tu.
Nilipokuwa nasoma elimu ya juu nilikuwa nikipewa jumla ya sh. 420,000/- kwa semister moja yenye siku 120 kama pesa ya chakula na sponsor...
habari za kutwa. Mbeya Rungwe 32000 per day baada ya kutoa 3000 chakula. je kwa waliopata sehemu zingine ni kiasi gani? naomba jibu wadau kwan tetesi ni nyingi sana
haitakivi qualification yoyote.
ni kazi ya kusaidiya na utapata ujuzi kwenye kazi la maozo la bidhaa ya ujenzi...
tumia cv au introduction kwenye email hii-
info@decortz.com
We are doing a low cost housing project,We need to buy a tanker of creosote.
Please can you kindly assist me as to where we can source creosote in Tanzania.
PM me if you know any supplier in...
Jaman tujuzane ndugu yangu maana nasikia dsm wao kimesanuka tangu jana vp watu wa moshi kila nikienda ofisi ya mtendaji hayupo tushirikiane kupeana taarifa katika hili
naomba mtu wa kunisaidia kulipa ada ya chuo kwasababu ya mama angu kushindwa kunilipia,nina mzazi mmoja tu ambae ni mama angu istoshe nina wadogo zangu ambao wanasoma sekondari katika shule ambazo...
Habari zenu wakuu,
Jamani wengine sensa ndo kama hivi imetutema kama kuna mwenye kamchongo
kengine ka kusogezea siku vyuo vifunguliwe ajimwage basi
maana :lalala:.......
Habari za asubuh wanaJF, ni mmoja kati ya wa2 wanaoathiriwa na ugonjwa wa ukosefu wa AJIRA hapa nchini hvyo nimekaa na kufikiria nikaona ni bora niombe ku2mikia ofic za watu hata kama ctalipwa ili...
Job Title: Diabetic Programme Manager
Job Location: Kilimanjaro Christian Medical Centre, Moshi, Tanzania
eports to: Head of Eye Department, AusAID Donor, Head of Diabetic Clinic,
Background...
NILIKOSA kazi ya kuhesabu kura, sasa nimekosa kazi ya sensa, sababu ni kukosa referee maana nina elimu ya shahada.sasa nimeamua kijipanga na kuanzisha chama cha marefaree kwaajili ya wanyonge kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.