Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wakuu nina masters ya water Engineering toka ughaibuni,sasa baada ya kutua bongo,sijui bado michongo ya kazi inakuwaje,Please anayeweza kunipa hata ushauri nianzie wapi ani-PM manake sielewi haya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu hivi zile post walizotoa wameshaanza kuita watu kwa ajili ya interview
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nafasi muhimu kwa ajili ya mjasiriamali zipo Tunafanya Business na kampuni kubwa duniani ambayo ina matawi mengi sana na kwa Tanzania yapo matawi matano. Aina ya Business: Multilevel Business...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
jeshi la police limewaita vijana kwa idadi tajwa hapo juu kuhudhuria kwenye usaili kama ratiba zinavyo onyesha kwenye matangazo yao. SOURCE-NIPASHE LA JANA .
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Sasa hawa NHIF walihesabu tu hizo appl letter na kujua walioomba? Au wanao watu wao ndoo maana hata hawakuchuja? NBAA inamaana ktk wa2 700 mpaka 900 waliofanya hiyo interview Je hamna hata wa2...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada jamani awa National Health Insurance Fund katika tangazo lao wanataka mtu uende na nini katika interview,kwa walio ona tangazo lao la kuita kwenye usaili apo kesho tunaomba watu juze,Asanteni,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nafasi za kazi idara ya Information Technology pale FHI changamkieni FHI 360 is a global health and development organization with a rigorous, science-evidence-based approach to bring...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Dear friends, please find below and exciting opportunity! Best, Selene Plain Ink, a non-profit, pioneering organisation harnessing the transformative potential of...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana jamvi habari za majukumu ya ujenzi wa Taifa. Leo najitokeza kuomba msaada wenu. Natafuta ajira au kazi ya ziada nimeamua kufanya hivi kwani nimeona kuwa ajira niliyonayo kipato...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello wandugu jana wengi wa uaili utumishi walianza usail wa maandishi(mtihani) ila kutoa matokeo nimechoka na stail yao kuwa watawapigia simu walioshinda,kwann wasitoe majibu kwenye website yao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani kwa mkazi wa moshi anayejishugulisha au anayefanya kazi kwenye organization yeyote inayojishugulisha na ustawi wa afya ya jamii aidha katika kutoa elimu au kufanya research naomba anipe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wanajamvi napenda kuwajuza kuwa kuna nafasi za kupalilia kahawa katika shamba la kahawa la burka estate lililopo jijini arusha kama unaelekea uwanja wa ndege kisongo.kwa ambaye yupo teari nenda...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu habari za majukumu, mimi ni kijana Qulified in Quantity Surveying field yaani cost estimator and building economist kwa ujumla kwenye building construction industry. Natafuta kazi kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
written interview ya atomic energy commision post ya nuclear scientific research , hivi ninyi watu wa utumishi mlikuwa na lengo la kupima uwezo wa watu wa kufanya kazi au la kuwakwamisha kwasababu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama unatafuta story au script writer mwenye uwezo wa kuteka hisia na kuleta msisimuko katika filamu/tamthilia/video/tv show/ yako kwa kupangilia matukio na wachezaji,nipo sasa kufanya mapinduzi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jaman asilimia kubwa ya graduate wengi hawana kaz ili kuwasaidia jaman msichague kaz, kuna ajira za kujiskiza ka customer care hasa kwa tigo, airtel voda na zantel. Kwa kusaidia nenden airtel...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu habari ya leo! N’s Group ni group inayohisika na ujazsiria mali pamoja na kutoa ushauri kwa wajasiria mali wadogo wadogo, na kuwasaidia kujikwamua katika hali ngumu ya maisha kwa kuwapa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Position Description: Logistics Officer Area: Dar es Salaam Application Deadline: 31/08/2012 at 17:30 Hrs Duties and Responsibilities 1. Typingall...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
I salute to you all. I hereby to get informed whether the posts advertised on June this year at UDSM the lnterview is already held. lf you are aware of this, kindly update me. Thank for your...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
JOB OPPORTUNITY:WORLD VISION TANZANIA Job Title: Commodities Manager Reports to: Senior Commodities Manager Location: Arusha Purpose of the position: To provide management and technical...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom