Sisi wana mafunzo wa kata ya MBEZI,ambako kituo chetu cha mafunzo kipo SEKONDARI YA KIBAMBA,tangu tuanze mafunzo hatujapewa hata senti moja kila kitu tunajigharamia wenyewe,cha ajabu mpaka peni ya...
Usaili wa taasisi ya udhibiti wa mbegu (tosci) ulipangwa kufanyika tarehe 20/08/2012 na 21/08/2012. Lakini kutokana na uwezekano wa tarehe hizo kuingiliana na sikukuu ya iddi, usaili huo...
Ajira ni tatizo kubwa linaloikabili dunia na nchi yetu pia!! Viongozi mbali mbali wakiwemo wabunge na viongozi wengineo kadhaa walisikika wakikiri ya kuwa ukosefu wa ajira kwa vijana ni bomu...
Kwa sasa ni mbunge katika bunge la afrika mashariki....ameingia kwenye siasa. Kwa kuwa benki ile ina mkono wa serikali kwa asilimia kadhaa, je, ameshaacha kazi kama meneja mawasiliano wa nmb?
Kama...
habari wana JF
mimi ni mwanafunz mtarajiwa wa ifm na pia makazi ni mwanza tatizo linakuja sina mkopo halafu nahisi maisha dar yatakua magumu sana,nlikua nkifikilia kuja kutafuta part time work...
Naombeni msaada tafadhali.
Nimenunua eneo la shamba la ekari 4 ambalo nahitaji kulipanda miti ya mbao lote. Naomba kufahamishwa hatua za kuandika proposal kwa aina hii ya mradi na nielekezwe...
Mimi ni Advanced diploma holder wa Accounts, huu ni mwaka wa pili sasa nasaka ajira bila mafanikio sana sana nimeishia kufanya interview za kutosha bila matokeo
Baada ya kutafakari kwa muda na...
Jamani ,nilikuwa naulizia zile nafasi za kazi za JS(John Snow) vip,watu waeshaitwa kwenye interview,mimi niliaply nafasi ya Logistic officer!! naomba wenye taarifa wakuu!!
Executive DirectorThe vision of FARA, the Forum for Agricultural Research in Africa, is to reduce poverty in Africa by promoting sustainable broad-based agricultural growth and improved...
Anahitajika Accountant, awe na cheti cha Diploma kutoka katika chuo kilichosajiliwa, uzoefu wa miaka 2 katika kazi, Umri usizidi miaka 35.
kama una sifa tuma Cv na barua ya maombi ya kazi kwa...
Bny Technology is pleased to announce that it has finish to create one of the most advanced job recruitment portal available in industry to date. The Portal is now at the testing and evaluation...
kuweni makini na watumiaji wa tigo kuna style mpya ya wizi kwenye mtandao wa kijamii facebook: hebu ingia kwenye hii link Salama Jabir | Facebook huyu jamaa anajiita kama Salama Jabir yule...
Wana jf nawaombeni kama kuna ambae anajua kuna mahali kuna housegirl please naomba tuwasiliane nina shida sana. Awe amemaliza standard seven na awe anajua kazi za ndani mshahara 30000 ni familia...
Habari za kazi wana JF? Poleni kwa kazi. Mimi natafuta chuo cha patnership cha Information and Communication tech. Naombeni msaada wenu jamani ili niwezekufanikisha ndoto zangu.
CAREER OPPORTUNITY-WORLD VISION TANZANIA
World Vision is a Christian Development, Relief and Advocacy Non Government Organization dedicated to working with children, families and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.