JAMANI WATANZANIA WENZANGU MIMI NIMETEMBEA TOVUTI YA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA, NIMEJIONEA MATANGAZO YA KUITWA KAZINI KWA WALIOFAULU USAILI WA MWEZI JUNI 2012.
PIA NIMEONA...
Jamani kila siku najiuliza kuhusu mtihani wa mchujo wa utumishi, unakuwa na mhundo gani?
maana watu ni wengi na wanasiku moja ya kusaisha na kuwainterview waliopasi.
Kama kuna mdau amewahi...
Kwa wale wote ambao wameomba kazi kupitia secretarite ya Utumish, tafadhali uwe aware na idadi ya watu wanaohitajika katika hio post husika kwako. La sivyo unaweza kutapoteza nauli ,na wengi...
Wanajamvi naomba msaada kwa hili>
Hivi wale wanao maliza Procurement and Supplies nao wanakuwa ktk kundi la wahasibu?
Maana kuna Muajiri mmoja aliniuliza swali kuwa nina sifa ya ihasibu? na...
Jamani wadau naomba kwa yeyote ayejua nafasi za kazi zinatoka lini kwenye hizo sehemu nilizozitaja aniambie.Najua kuna watu wengi wa kila namna hapa jukwaani.Nataka kumpeleka mdogo wangu kwenye...
Makarani waliochaguliwa kwa vigezo walivyoviweka wakubwa wa nbs leo ilikuwa patanikushika ktk Sehemu zao walizoziteua kwa mafunzo manispaa ya ilala . Polisi waliofika kuzima fujo pia walionekana...
Mie ni msomi ambae nimehitimu masomo na nipo kusubiri nafasi za kazi ambazo nimeomba maeneo mbali mbali. Hata hivo nilipenda sana niweze kujiajiri. Naomba mawazo yenu wapi pa kuanzia?
Sina mtaji...
WAKUU,
natafuta kijana mwenye uzoefu wa kufanya kazi za stationery ikiwa ni pamoja na kutumia machine kama compyuta, photocopy, kubind, kutype na shughuli zote kama hizo. Pia ajue kiingereza na...
mimi ni miongoni mwa wasailiwa wa chuo cha hombolo naulizia je hombolo hajafunguka maana nina interview tarehe 28 na 31 mwezi huu sehemu nyingine lengo na nia ni kwamba kama hombolo wamenipatia...
Mkataba kwa makaran wa sensa walioingia na NBS ulikuwa ukiwataka kupewa posho ya 380, 000/= lakini kwa Temeke, mbagala charambe, Tandika ila wametoa 140,000/= badala ya 380,000/= kwa dodoso refu...
Local Catering Services Company is inviting Tanzanians with the following attributes to apply for Quality assessor and Control post:
Work station is Geita
PROFESSIONAL AND INTERPERSONAL DETAILS...
Wakuu kuna mkanaganyiko mkubwa sana kati ya AJIRA NA KAZI, na ukisoma baadhi ya vitabu vitakuambia hakuna tofauti ila baadhi vinakuambia kuna tofauti kubwa sana,
KWA NILIVYO KUTA TOFAUTI
1...
Wadau naomba kusaidiwa hili,
Graduates wanao maliza degree ya procurement and supplies nao wanawekwa katika kundi la wahasibu?
Maana kuna mtu aliniuliza hili swali nikashindwa kumjibu baada ya...
Ni mwaka na miezi kadhaa nilikua mtaaani bila kazi ila kwa msaada mkubwa wa JF kupitia categori ya Kazi na Tenda nmeweza kuona job adds ambazo nyng nmekua nikituma na hatimaye nmefanikiwa kupata...
Our client, Kabanga Nickel Company Limited (KNCL), is a Tanzanian-based company established to oversee the operations of the Kabanga Nickel Project (the Project), a 50/50 joint venture between...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.