Nina bachelor ya business in marketing ya Kenya Methodist university na Msc entrepreneurship ya ESAMI. Niko mtaani tu Wazee. Hii ya sensa wananizingua waalimu.
Baada ya kuairusha mpaka j4 tar 14 arafu ghafla kuaarisha mpaka tar 15 siku ya jumatano, Habari kutoka kwa watu wa dodoso refu wanasema wameambiwa wawatangazie watu wa dodoso refu kuwa wawah kesho...
Wandugu me nashndwa kuwaelewa hawa wa2 wa sensa,watapangaje tar za kuanza semina hafu wanahairisha without any Information ktk ofc za kata na hata maeneo waliyopanga kwa hzo semina.Jambo la m2...
Ebana mi naomba mnipe mawazo juu ya ili swala la interview kufanyika kwa lugha ya kigeni(English) Wote tunajua fika Watanzania walio wengi icho kizungu ni cha kubabaisha babaisha na hii ni...
Ndugu wana jf namba mtu yeyote mwenye ufahamu ni hatua gani au ninawezaje kupata nembo ya tbs kutoka shirika la viwango.nataka kuwa mjasilia mali wa kutengeneza bidhaa za mafuta ya kupikia...
Mwananchi wametoa shortlist ya walioomba kazi katika gazeti la mwananchi la leo tarehe 08.08.2012. Ila hawajatoa majina wametoa condition tu za wanaoitwa kama:
1. Muombaji lazima awe na umri...
trh 14,15,17,23 na 24 mwezi huu wa 8! ni tarehe ambazo kutakuwa na written interview kwa nafasi mbalimbali zilizoombwa nhif. wengini ni wageni jamani na dsm. huko BARAZA LA MAASKOFU ndo mitaa ya...
Kampuni maarufu kwa usambazaji wa vifaa vya elektroniki, CCTV, Setallite dishes, , ZUKU TV, DSTV na mitambo ya mawasiliano, kufunga Cable TV, Security cameras kwenye mahoteli, nyumba za kulaa...
Jamani,naombeni ufafanuzi wa tangazo la interview za NHIF la tarehe 8 juzi.
Wametoa ratiba na venue za interview bila kutoa shortlist ya majina!
SASA MIMI NITAJUAJE NA HUKU ZIMEBAKI SIKU...
mimi ni mmoja wapo kati ya niliyopata kazi ya sensa tumeambiwa tutalipewa elfu35 kwa siku na 250000 kazi ya sensa pamoja na nauli elfu35 kwa wenye dodoso ndefu kwa fupi cjajua.
NAWASILISHA WADAU...
kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu zile kazi ya MESSENGERS BOT kama lnterview ishafanyika au bado tafadhali atujuze maana ndo sehem ninayoitazamia kwa macho ya matumaini.
Nawasilisha.
Natafuta kazi ya u house boy nina 28yrs najua kiswahili na kiingereza fasaha elimu yangu kidato cha sita kwa sasa nipo dar. Mshahara maelewano aliye atakayekuwa tayari ntamtumia ac ya email
1
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na. EA.7/96/01/C/22 7 Agosti, 2012
KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika...
Duh hii ni kali ya mwaka jamani mwanzoni majina yalitoka vizuri wakufanikiwa wakawa wamefanikiwa semina ilikuwa ianze leo,watu wamekwenda kwenye kituo cha semina wakakuta kuna mabadiliko ya semina...
Habari za asubuh wana Jf,kiukweli hizi habari za sensa zimenichosha ila inanibidi tu niulize kutokana na kukosekana kwa ukweli wa mambo kutoka kwa hawa watu waliopewa dhamana ya kusimamia ili...
hawa jamaa wa brac jamani wajipange sawa sawa. Niliona tangazo humu ndani juzi kuwa wanataka afisa mikopo. Mi ni mmoja wa walio2ma maombi. Baada ya siku kama 4 hv nkapata sms ikinitaharifu kuwa...
mimi ni kijana(wa kama miaka 23 hivi),na kama bahati nimebahatika kupata kazi sehemu flani,wananipa mshahara mkubwa tu,na niliowakuta kwenye department yangu,wengi ni wana umri karibia wa...
ndugu zangu wameninyima nafasi ya ukarani hapa dodoma mjini, katika pitapita zangu nikaambiwa "waliopita walikuwa na marefa hususani wanachuo walio mtaani bila ajira" mlioko jikoni naomba refa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.