Habari wana JF,ni mwaka wa 3 sasa tangu nimalize chuo,nimejitahidi kufanya application yoyote inayoendana na fan yangu bila mafanikio,sasa nimeamua kutoa chochote ili nipate kazi,japo naamin...
Jamani wa jf mi naomba kuuliza kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu mchakato mzima wa wale tuliojaza fomu zakujiunga na upolisi tukiwa chuoni mwezi june coz mi binafsi sijui hata kinachoendelea mpaka...
1.USIWE NA PAPARA
-tulia jitahidi kutafuta kaz taratibu bila pressure pia jitahidi kutumia marefa ambao wamo ndani au karibu na waajiri.
2.KUWA TAYARI KWA LOLOTE.
-Kubali matokeo hata kama...
habari zenu wana JF, naombeni mwenye taarifa au mwenye kuwafahamu mawakala wa Barrick au migodi ya madini hapa Dar es salaam ningependa kuwasiliana nae aweke wazi tu si kwa nia mbaya na...
Wakuu eti zile nafasi za ajira chuo cha IFM zilizotangazwa na tume ya ajira mwez may mwaka huu wameutwa kwenye intview wk ijayo tar 30?
Nimepata taarifa kutoka katika chanzo ambacho sio cha...
Wana JF,
Ni muda sasa nimekuwa nikiona matangazo ya kazi hasa ya serikali na taasisi zake yakiwa na deadline inayosema
" The deadline is two weeks from first appearance of the advertisement"...
Wakuu! Salamu. naskia ukiweza kuhonga suti tano kwa viongozi wa juu wa serikali you have greater chance to get sehemu ya kujenga hoteli ya kitalii ndani ya hifadhi ya wanyamapori mfano...
Wadau kwa mwenye taarifa kuhusiana na nafasi za kazi zilizotangazwa na tume ya ajira za COSTECH kama washaita watu kwenye usaili,
maana mim niliomba research assistant mpaka sasa naona kimya.
Za leo wana Jf, nataraji mko vzr. kuna ishu moja imenishangaza kidogo, watu wakishaona majina kwenye website ya watu kuitwa kwenye usahili basi wanaanza kutafuta information za wale wanaooneka...
ALPHA STATIONARY iliyopo maeneo ya TABATA-DAR ES SALAAM, inatafuata mfanyakazi wa ofisi ya stationary.
aliyetayari atume CVs yake ikionyesha muda na maeneo ya uzoefu wake wa kazi.
Tuma CVs yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.