Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

minimum experience of 2 years and knowledge of Electrical works will highly be preferred. Send Your CV to: contact@energyserviceslimited.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hongereni wale waliokuwepo kwoa yao kwa usaili wa Nyerere Institute Memorial,Tunaona kuwa mnakuwa wasikivu ndio uwazi tunaoutaka kwa wale ambao wamefanya interview wekeni matokeo yao na then...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Tunahitaji mawakala kwa ajili ya huduma zetu za kifedha tunazotoa. Mawakala watakuwa na kazi ya kututafutia na kutuunganisha na wateja ama wawekezaji katika huduma zetu. Nafasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A..
0 Reactions
8 Replies
4K Views
The Nature Conservancy JOB DESCRIPTION JOB TITLE: AGRICULTURE STRATEGY DIRECTOR - AFRICA JOB FAMILY: Conservation JOB NUMBER...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wanafamilia wa JF, Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya Elimu (BA in EDUC) kutoka ktk chuo kikuu cha Arusha. Nikiwa nimejikita ktk kufundisha masomo ya English na Kiswahili. Kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jamani kama kuna mtu wa mikoa ya vile vituo vya haya mafunzo anijurishe kama ametumiwa sms ya kuhusu vituo vitakuwa wapi hasa hasa Mwanza.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu wana JF, Naomba mnisaidie coz nataka kufanya maamuzi magumu lakini kinachotatiza ni hii PUTS 2-3 kuwa ni Tsh. ngapi. Kuna kazi ya Assistant lecture imetangazwa UDOM, mie sifa ninazo na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari Node Limited, the leading ISP in Arusha with a dynamic cutting edge of information technology dealing in computer systems, ready to use Tanzanian software, networking (LAN, Internet)...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
wadau mimi ni graduet wa fani za ICT ,Nina hitaji kazi ya kufundisha course mbali mbali za ICT , Kama computer application, databases,programming,operating systems and servers. nimefaulu vizuri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni kujua mshahara ambao serikali imeweka namaanisha net salary ambao fresh graduates wanapaswa kulipwa pindi wanapoajiliwa ni shilingi ngapi? Mungu awabariki! bampami!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anahitajika mwalimu wa physics mwenye shahada ya kwanza kwa ajili ya kufundisha part time au full time mkoa wa Iringa eneo la Mafinga mwenye sifa hizo anitafute nimpeleke kwa muajiri na kwenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za kazi kazi wapendwa wangu, hata kama huna ajira hii nayo ya kubadilishana mawazo pia ni kazi, tafadhalini sana kwa mtu yeyote ambaye anafahamu kwa jinsi gani zile kazi za uaskali wa bunge...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Leo nimeudhuria written interview pale MNMA, na nimeona pepa lao kama lilikuwa fair ivi. Na kilichonifurahisha ni kuwa utumishi wamebadilika bwana! Kabla hatujaondoka tumeambiwa kuwa kuanzia sa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi ni Engineer by profession, nimekaa muda mrefu na kwa hamu kubwa ya kujiunga JWTZ lakini nakosa habari rasmi ni lini wataita watu wenye profession mbali mbali kujiunga/kujiandikisha. Kama kuna...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Makarani wa SENSA,kata ya MBEZI mkoa DAR ES SALAAM wilaya ya Kinondoni,wana moyo na hali kubwa ya kutekeleza jukumu hili zito la serikali,lakini wanakatishwa tamaa na kuvunjwa moyo na mpangilio...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
The National Construction Authority (NCA) is a state owned Agency established under an Act of Parliament, the National Construction Act No 41 of 2011. The object for which the Authority is...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The National Industrial Training Authority (NITA) is a State Corporation established under the Industrial Training Act, Cap 237 of the Laws of Kenya and is headed by a management Board. The...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The Kenya Civil Aviation Authority is a State Corporation under the Ministry of Transport established under CAP 394 of the Laws of Kenya with a mission ‘to develop, regulate and manage a...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana JF mimi ni kijana mwenzenu nimemaliza SUA naomba kama kuna yeyote mwenye nafasi ya ualimu au kazi ingine yeyote anisaidie,nimesoma BS.Human Nutrition,kwa sasa nafundisha shule flan lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom