Kuna million 1 kwa atakae fanikisha nipate post pale udom, kazi ninayo ila nataka sana hizo post ni PM kwa mawasiliano zaidi.
NB:- Naomba usichangie kama huna cha msingi cha kuongea
Jamani kuna kazi hiyo kama kuna mtu mwenye sifa ajaribu bahati yake hapo.
The address of HR is: zally@pedaids.org
The closing date is 30th August, 2012
Hivi ukiambiwa kesho unatakiwa ufike ofisini saa 3:00 asubuhi, huwa hutokewi na ile hali ya fever fever fulani hivi? yaani huu ndo ugonjwa wangu hasa ikitokea kwa ofisi mpya kabisa maana...
habari zenu wana JF naombeni msaada kwa mnaojua kuhusu hili. ninamtaji wa laki saba nataka kufungua biashara ya gems kwa watoto huku arusha nimeona niombe msaada wa mawazo hum kwanza kwa wenye...
Wakuu anahitajika engineer kwa ajiri ya ujenzi wa nyumba(STOREYED BUILDING)ukonga Dar.
Awe na uzoefu wa kutosha,CV ni muhimu.
Aweze kuchora ramani nzuri kwa ajiri ya luxuriously house.
Awe na...
Hallo to you all great thinkers, hope cool. Vp kuna mtu an information za kuitwa usaili wa afisa ushirika daraja la pili? Zilikuwa post 45. My self cjaona kama utumishi wameita but kuna mtu mmoja...
Urgently Recruiting INTERNAL AUDIT MANAGER FOR WORLD VISION TANZANIA:
Qualifications:MBA IN ACCOUNTING WITH CPA(T)/ACCA,4years experience.
send CV to orestes_sotta@wvi.org
Nimepita mitaa ya udsm karibu na yombo 5& 6 watu ni wengi wanaosubiri kufanya interview ni zaid ya watu 1000 post zenyewe sidhani kama zinazidi 5 au 6! Kwa hali ile kweli kazi ipo kwa wasio na ajira/
Kuna yeyote anayelijua shirika la RTI International Tanzania? Kuna ndugu yangu anataka ku-apply kazi huko. Kama kuna anayejua salary package yao na other benefits naomba anijuze.
nliwahi kuskia kua ajira zile ztakua processed baada ya kuisha bunge.nashangaa hata tetesi tena hakuna.wadau anayejua atupe hints japo kidogo.bench noma jaman.khaaaaa...
Wale wote mliopata nafasi za kazi katika ukarani wa sensa ya watu na makazi Tanzania 2012 ni jukumu zito sana mlilopewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,hivo ni vema mkafanya kazi...
M/S Meru Agro-Tours & Consultants Co. Ltd (MATCC) is a local private company based in Arusha that specializes in Agricultural inputs business. The company deals with multiplication and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.