Jamani wana JF, tume ya ajira wameita watu kwenye interview. Tafadhali tembelea web yoo hii PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
au fungua attachment utaona mambo
kutokana na mgomo wa ma daktari nchini na uhamuzi wa serikari kusitisha leseni za madaktari wapatao takribani 300 na baadhi yao wameanza kuondoka nchini ili kutafuta mahala wanakosamini taaruma...
Nashndwa kukuelewa raisi wangu,kwa nini umewekeza mamilioni ya shilingi kwa kunisomesha mwisho wa siku unaniacha na hang kama kondoo asiye na mchungi.
>kwani ulikua na lengo gani nami?
>kwa...
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/C/8 27 Julai, 2012 KUITWA KAZINI Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi...
REGISTRY CLERK
UNDP Tanzania Office wishes to recruit a suitable Tanzania national to fill the position of Registry Clerk.
Location: Dar es Salaam
Contract: Fixed Term Appointment (FTA)...
BRAC is looking for new members to join its East Africa Research and Evaluation Unit (REU), which is an in-house but independent facility supporting BRACs existing development programmes. The...
Wanajamii natafuta kazi ya uhasibu. Mi ni fresh graduate, nina experience maana nilifanya field kwenye accounting department na nimewahi kuwa cashier kwenye associations za wanafunzi chuo. Kwa...
Wanajamvi vp? naomba msaada kuna kazi zimetangazwa ila moja kati ya viambatanisho ni hii relevant writing sample na kwa kweli sina uhakika kama nimeilewa vizuri hivyo naomba ufafanuzi kwa anayejua...
nipo mtaan morogoro,kama kuna yyte aliye interested na kufanya kazi na mimi hususan biashara,tuchange mawazo tusake fund tuanze hima hima biashara au shughuli yetu wenyewe. mawazo ni mengi sana...
NIDA pamoja na NIA yenu nzuri ya kuwapatia WaTZ vitambulisho naona hili zoezi la uandikishaji linawakera watu kwa kuwa wanapanga foleni ndefu tena juani kila siku wakikimbizana na deadline. zile...
Wadau kupitia hapa hapa Jf nilipata Tangazo la kazi nikaaply, Last Month nilifanya Telephone Interview na jana wakanipigia simu kwamba nimefuzu kwa hatua ya kwanza hivyo Jumatatu nitafnya...
Wandugu nahitaji kijana wa kike au wa kiume kwa ajili ya kuniuzia duka la vocha na tigo pesa,ila after nitaweka na Mpesa,airtel money,vocha za jumla,max malipo,tigo rusha na vinginevyo.Mshahara ni...
Wana JF polen na swaumu! je naomba kufahamishwa kuna husiano gani kati ya mtu kutoitwa kwenye usaili na kutocertify vyeti mfano kwa wakili? au mtu kutocertify vyeti yaweza kumnyima fursa kuitwa...
BRAC is looking for new members to join its East Africa Research and Evaluation Unit (REU), which is an in-house but independent facility supporting BRACs existing development programmes. The...
Responsibilities:
Be responsible for the setting-out structures
Liaise with the client on matters pertaining to surveying
Ensure that survey instruments are calibrated according to...
Ndugu wadau,
Naomba mwenye taarifa , anijuze kama interview kwa nafasi ya shipping manager -Tanzania Tobacco Processors Ltd (TTPL) kama ilifanyika au mchakato ukoje.
Nafasi hiyo ilitangazwa...
Habari JF
Nafasi za field katika hotel Arusha na Zanzibar
Kama umemaliza kozi ya Basic Certificate in Hotel Management na hujapata field, tafadhari wasiliana nami kupitia visitatanzania@gmail.com...
1
TANGAZO LA KAZI YA MUDA KATIKA MRADI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inakamilisha maandalizi ya kufanya Sensa ya Watu na Makazi ambayo...