kampuni ya Teacher's Junction yenye makao makuu yake Mtaa wa Dosi,Magomeni Mapipa jijini Dar es salaam,
wanaojihusisha na kuwaunganisha walimu na shule(mwajiri).
wanatangaza nafasi za Mawakala...
*Zonal / Regional Supervisor *
* Reports to- *Head of Zone,
Operations Engineers
* *
*Job Purpose: - *To supervise the field teams in carrying out the
contracted maintenance necessary on...
Natafuta mtu ambae yupo tayari kufanya kazi kwa muda wa ziada bila kuingiliana na kazi yake,ambayo itamuwezesha kupata kipato cha ziada nje ya mshahara wake.kwa aliyetayari tuwasiliane.
Haiwezekani kazi zooote za Designing, Printing zing'ang'niwe tu na akina Hanne Kemcho!
kwa Mabilioni ya Mashilingi ....wazalendo wenzenu Hatimaye tumeamkia walikolalia magaba-chor.
Wallah ingia...
Job Opening: ITC/PVN/05/2012
Post title: Associate Information Systems Adviser (two posts)
Post level: P-2
Division: Division of Programme Support (DPS)
Section: Information Technology and...
Jaman nimeaapply sana tume ya ajira na Masters lakini nimeishia kutoswa kila,juzi hadi nimeapply nafasi ya afisa tarafa lakin najua nitapigwa chini tu.wenye uzoefu na serikalin naombeni msaada...
Wandugu kama kuna mtu au watu wana uzoefu na biashara ya kusafirisha mizigo (malori).
wnahitajika kuingia mkataba maalumu kwaajili ya kusimamia biashara hii kwa mkataba maalum.
pm au wasiliana...
Habari wakuu, mimi nimemaliza chuo Ardhi, mwaka huu BSc. Building economics , yaani Quantity Surveyor in professional so natafuta kazi kwa makampuni ya ma contractors, engineers na consultant...
Karibu miezi miwili iliyopita watu waliitwa kufanya interview pale NHIF,lakini kilichotokea hawakuwaita wale watu wote waliofanya interview ile,badala yake waliamua kuwaita wale watu waliowahi...
wakuu kuna nafasi mpya wanazipost sasa kweye tovuti yao ajira.go.tz ila kitu kilichonishangaza juu ya utendaji kazi wa hawa jamaa eti wanasema mtu aliyeapply nafasi zile za mwezi wa tano ambazo...
HELLOW WATANZANIA, MIMI NI KIJANA MTANZANIA MWENYE UMRI WA MIAKA 25, KWA SASA NASOMA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AUGUSTINO SHAHADA YA KWANZA YA MAWASILIANO YA UMMA (BA. IN MASS COMMUNICATION)...
Unaweza itwa pale kwaajili ya interview na ukafunika kumbe unasindikiza tu!!!Niwafanyakazi wa serekari kunaweza kukawa na nafasi moja wakaita watu kumi,Kuna umuhimu gani wakuniita kama unajua...