kuna watu walikuwa wanauliza kuhusu wapi wanaweza pata scholarships. Nami nikaahadi kuwa ntawaletea page yenye scholarships mbalimbali zikiwemo ambazo ni mahususi kwa tanzania. Kutokana na ufinyu...
habari wanajf!naomba msaada wenu, nina mdogo wng anatafuta kazi aina ya customer service au call center:elimu yake ni kidato cha sita ila akasoma na certificate ya mambo ya customer care+marketing...
Kazi nyingi za Cabin Crew kwa watanzania.
East Africa Job Board::Free jobs for all in Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda and South Sudan: CABIN CREW (40 POSTS) at Precision Air in Dar,Tanzania
Asanteni
Nimeckia standard chattered bank wanatafuta bank tellers, wanachoangalia ni certificate ya form 4 i.e uwe na atleast C za mathematics na english, kwa kuongeza possibility ya kuchaguliwa uwe na...
Ntawezaje kupata kazi yenye kudumisha utu wangu, kuwatunza wazazi wangu, na kuwasaidia ndg zangu wakati sikubahati hata kumaliza elimu yangu ya sekondari?
Sina kazi natafuta kazi tafadhari...
Niaje wadau jana nilipigiwa cm na organisation moja inayohusika na maswala ya ajira nikafanye interview ya customer care kwa yeyote mwenye uzoefu na hii sekta plz help me on the posbo questions plz
Niaje wadau wa jf? Kwa wale walioko Access bank nimesikia hii bank inatoa mikopo hata kwa dhamana ya gari,so nipo mkoa duty station home ni Da nina gari ndogo ya biashara i.e tax nataka kuiombea...
Watanzania wenzangu kuna wizi mpya unaotumiwa na kampuni inayotoa huduma kushirikiana na makampuni yetu ya simu za mnkononi inayojitangaza kupitia radio ya clouds FM, kwamba wanauza magari...
WAKUU HABARI.
Kiwanda kipo DAR. anahitajika mtu mwenye kujua chemistry atatakiwa kufanya kazi ya kupiga mahesabu how to mix to make some alloys. atafundishwa asiwe na hofu.
ambaye yupo tayari...
wadau mgodi wa tulawaka wametangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo
- operators (post 10)
- security (post 15)
- supervisor (post 7)
wenye vigezo kazi kwenu tumeni kwa email hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.