Habari wadau wa JF. Naulizia kama kuna mtu ana information zozote kama mashirika husika hapo kwenye title wameita watu kwa usaili maaana walitangaza kazi more than 2 months ago!! Au ndo tayari...
Wakuu bosi kaniita na anahitaji CV za garduates wa Mechanical Engineering Wanaograduate mwaka huu au waliograduate mwaka jana kwa level ya Diploma na zinahitajika kesho asubuhi so If there is any...
wadau kuna watu tulifanya interviw ya kuongea ya treh 19 marchh 2012,wale wenzetu tumefanya nao wameitwa kwenye post zao bt sisi yetu ya investigation officer bado kweli iyo hakiiiiiiiiiiiii??????????
Ndugu zangu me huwa siamini ushirikina hla kwa tukio hili naamini upo coz tuliitwa kwenye interview na jamaa akanambia twende kongowe kwa babu yake hili tufanikiwe maana interview ilikua 1 tu ya...
new jobs
International Capacity Building Coordinator
Organizational Development Coordinator
Press Accredition(ZIFF,Zanzibar)
visit THE GLAMOUR JOINT for full details on these posts!!!
Wadau,
I have a Dell laptop, 500gb, windows7, 4khz ram speed, with fully internet connections.....i pretty much confident to work for somebody who is busy, have always been having pending...
Baada ya kuapply tangazo lao la kazi huko Uranium Songea,fasta wakanipigia simu wakadai wapo kwenye mchakato wa kuita watu kwenye interview lakini tutangulize kwanza laki 2 kwa M-PESA...
Kazi nyingine za Cabin Crew, RwandaAir
East Africa Job Board::Free jobs for all in Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda and South Sudan: Cabin attendants at RwandaAir in Kigali,Rwanda
Asanteni
HI. WANATAFUTWA AGRONOMIST AU AGRIC-GENERALIST WENYE EXPERIENCE YA COFFEE FIELD MANAGEMENT. PLEASE KAMA UNA NDUGU,JAMAA,JIRANI, AU RAFIKI ASISITE KUFORWARD CV YAKE TO hrd@enrichafrica.org or...
kuna nafasi za kazi kwenye stationery ya KARAGWE PRINTING TECHNOLOGIES LIMITED - KPTL.
Tuma email ya maombi kwenye e-mail ifuatayo;
karaprint@hotmail.com
na kwa msaada wa maelekezo zaidi...
wanapatikana popote utakapowahitaji including in schools. for primary and secondary schools. teaching english, swahili, history, civics, geography. ukiwahitaji ni PM.
EMPLOYMENT OPPORTUNITY – FINANCE & ADMINISTRATIVE MANAGER
ECHO exists to reduce hunger and improve lives through agricultural training and resources. It is a non-sectarian Christian NGO...
Jamani hivi naruhusiwa kuapply nafasi za kazi zaidi ya tatu kama mwajiri ni mmoja na nafasi zimetoka siku moja lakini ni nafasi mbalimbali mfano hizi za utumishi nafikiri mmenielewa wakuu...
Habari zenu wakuu mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 26 nimehitimu shahada ya kwanza ya jinsia na maendeleo katika chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere mwaka 2011, ninatafuta kazi tajwa hapo...
Anahitajika mtanzania mwenye elimu ya kidato cha 6 na basic skills kwenye management, ambae anaweza kuongoza watu 10 kwenye biashara ya mtaji wa Million 10.
Mshahara ni 450,000 kwa mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.