Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC) is a Government Institution under the Ministry of Health and Social Welfare. The Centre is responsible for spreading nutrition activities in the country...
Wakuu Salaam!!Je kuna yeyote anayeifahamu vizuri Advans Bank.....am talking about Career Development, Salary and Benefits na mambo mengine kama hayo?! Hawa jamaa naona wameanza kuzingua kabla ya...
kampuni ya hotland expedions iliyoko mjini Arusha inatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo
SECRETARY nafasi 5
SIFA ZA MWOMBAJI
awe na elimu kuanzia form four na kuendelea
awe amemaliza masomo...
Wakuu heshima mbele
Nimeitwa kwenye interview katika mamlaka ya elimu tanzania kwenye managerial post, naomba mwenye ufahamu kuhusu mamlaka hiyo, anijuze mishahara yao, haki katika kuajiri (kama...
Respect wakuu, MMP nimekwama sehemu kuhusu haya matangazo ya kazi ya serikali kupitia sekretarieti ya ajira.
Kwenye Genereal wameagiza kuwa Barua zote zitumwe kwa anuani ya Sekretarieti ya Ajira...
POSITION TITLE: 1
Business Analyst
REPORTING TO:
Business Enterprise Director
LOCATION:
Dar es Salaam, Tanzania
JOB PURPOSE:
To ensure that the Business Enterprises Director ...
TUNATAFUTA MWALIMU WENYE DIPLOMA YA UALIMU AU DEGREE UALIMU YA MASOMO YA COMBINATION ZIFUATAZO LAZIMA AWE AMESOMA GEOGRAPHY NA KISWAHILI AU HISTORY. MSHAHARA NI MAELEWANO.KWA MAWASILIANO ZAIDI...
Rafiki mmoja asked me"Me ni b.a holda wa communications n marketng,napenda kujiendeleza ktk either Masters in Marketing management/project management...vyote napenda...kipi kipo juu ya mwenzie...
Kwa vijana wa jiji la mwanza, wasomi ambao mko kwenye safari ya kutafuta kazi njoo tufanye hii kazi!
Ni tenda ya kufanya usafi wa jiji; tenda imetangazwa na jiji (ukipita mbao za matangazo ya...
The Tanzania Commission for Universities (TCU) is a Government agency responsible for the regulation, promotion and quality assurance of universities, their programmes, staff, students and awards...
Habari zenu wana jf, mimi ni mwanafunzi wa diploma of insurance and risk management mwaka wa kwanza IFM, natafuta nafasi ya kufanya field kwenye insurance compamny yeyote. Natanguliza shukrani.