Wanahitajika haraka wenye fani za Hotel,Chef nafasi 1 na Receptionist nafasi 1.Hotel ipo Dar es salaam maeneo ya Posta,kwa mawasiliano piga namba 0713-166237 au 0753-607205.
Hii itakuwa ni thread ya 4 naweka hapa kwa ajili ya Masuala ya kazi.
Mara ya kwanza niliomba kufanya kazi ya Utangazaji japo nilisema sijausomea popote pale,ila nina kipaji na najiamini kwa hilo...
Habari wana jf,
Jana nimepata email toka pwc inayohusu assessment test ambayo inatakiwa iwe completed on friday,nimepewa username na password!!So,nataka kujua hiyo assessment test...
Habari zenu wana-JF! Natanguliza heshima mbele.
Ndugu zangu, wengi wetu huwa tunategemea kupata taarifa kupitia mtandao huu wa kijamii kutokana na umaarufu na uhakika wa taarifa zinazowekwa hapa...
mimi ni mwajiriwa mpya idara ya kilimo wilaya ya chato. NINA MASWALI: 1) fedha ya kujikim kwa graduate ni ngapi na kwa sku ngapi.
2) ni kilometa ngapi toka mbozi -mbeya hadi chato- geita.
3) ni...
Kunachaka moja linahitaji accountant, sifa awe anafahamu IT kidogo kama kuinstall window, antivirus update nk.
Anatakiwa awe mwanza na kituo cha kazi ni mwana so alie tayari ani pm. mshara ni...
In view of the further development of its activities the BTC is currently looking for a (m/f):
International expert in Natural Resources Management - Project co-manager
TANZANIA
For the project...
Habarini,atlast nimeitwa kwenye interview kwenye kampun fulani ambayo niliona tangazo hapahapa jf,,lakn kwenye maelezo yako walisema mtu awe na xpirience ya negotion skills na use of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.