Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

wadau habarini... Wadau kwa wale waliofanya interview ya system administrator pale MUHAS wiki mbili zilizopita, je kuna mtu mwenye taarifa yoyote au alieishaitwa pale kati ya zile post mbili?? Sante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau tusaidie kdogo kwa wenye ufahamu, mshahara wa mwalimu mwenye degree ni 469200 D1, je mwenye Masterz n sh ngap?? Je hata ukfanya kazi wizaran mshahara n tofaut na shulen?
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wana Jf. . .yeyote anayetaka kununua bidhaa nzuri kama vile hardware materials, lights and lighting facilities, cellphones za aina mbalimbali, vyombo vya nyumbani vya aina mbalimbali. Ni Pm
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nategemea kugraduate mwezi wa sita mwishoni, BA EDUCATION, natafuta shule za private DSM, MOROGORO au DODOMA, kufundisha kwa "temporary"au mkataba kulingana na makubaliano. Please, mwenye shule...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina bachelor ya Computer science, Diploma ya IT na FTC ya Electronics & Telecommunication mwenye uwezo wa kunipatia or kunitafutia ajira kwa garama yoyote ile plse!
0 Reactions
29 Replies
3K Views
jamani kwa wale tulofanya interview Pspf tar 19 march je washaita watu wao kazini?sie watoto wa kina baba kabwela najua hatuez kuingia palee.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tunatafuta mhudumu wa ofisi awe binti aliyemaliza kidato cha nne,call 0783 215 450
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mara ingine najitokeza hapa naombeni mnisaidie ni wapi naweza pata kazi,nina degree na nimefaulu vizuri tu ila sijafanikiwa kupata kazi. naomba mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KWA MTU YOYOTE WENYE DEGREE AU DIPLOMA YA UALIMU MASOMO YA PHYSICS AU MATHEMATICS ANIPIGIE SIMU AU ATUME CV YAKE KWA MAWASILIANO YAFUATAYO . MSHAHARA MZURI, SIYO PART TIME NA USIWE HUJAMALIZA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
What are the updates. Naona thread zimepotea. Barua zishawafikia watu? Wanapiga simu au ni barua tu?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
F6, male with computer technician, secretary. Looking for a job Call 07186534543
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I was applying for sales job at South Africa, then i was required to fill certain form but i have problem on the following issue; First Name: so i put my name here Middle Initial: Last Name...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
wana JF kwa wale walioomba kazi Mzumbe vipi wameishaita watu kwenye interview na kama una taarifa na zile nafasi za TRA zilizotanganzwa hivi karibuni walikuwa wanatafuta trainers wa mambo ya ethics.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi wana jf. Kama wewe ni mwalimu wa wa daraja la 3A. Kuna nafasi tano wanahitajika saba watana watakao fanya vizuri wataajiriwa. SIFA: 1.Awe na elimu daraja 3A 2.Anajua kingereza vizuri...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naishi Mbezi kwa Msuguri,kwa kuwa soko la ajira ni gumu hapa Tz. Basi mwenye kibarua cha maana aniwezeshe i.e, kuuza duka,butcher,saloon,kazi za viwandani,na makumpuni binafsi au ya umma...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
wakuu,heshima mbele!!! nimekuta tangazo la kuwaita watu kwenye interview kwa mwezi wa tano(may) ila kilichonisikitisha ni haya masharti ya kwenda kwenye interview::: Wasailiwa wanashauriwa...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari wanajamii! Nawatafuta watu wenye mitaji ya kuanzia kama milioni 3 hivi tufanye nao biashara. Biashara yenyewe iko namna hii ni kuzalisha umeme kwa kutumia machine ya kusaga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kagemi &tibaijuka company wanataka watu wa kufanya internship yenye malipo katika ofisi zao.kama unataka kuapply nenda kwenye.www.kagemitibaijuka.com
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Anatafutwa mtu mwenye blogu hai ya recruitment/kazi/ajira ya hapa Tanzania ili tumpe mkataba. awasiliane na sam@peppre.com
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jaman habarini za mchana huu.kuna maajabu sana hapa mjini yaan kila kukicha watu wanatunga sera za utapeli tu ama ni nn? Leo nmeamka natumiwa sms kutoka katika kampuni ambayo siifaham wanadai eti...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom