HEAD OF INTERNAL AUDIT DIVISION- Manpower Services (T) Ltd
Requirements : Must be a CPA (T), or ACCA holder. MBA Finance and BCom in Accounting will be a distinct advantage. A minimum of...
NAFASI YA KAZI
TUNAHITAJI WATU WAWILI KWA AJILI YA SALES NA MASOKO
WENYE UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA 3
WENYE UTAYARI WA KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE,
WENYE ELIMU YA KUANZIA "DIPLOMA" AU "DEGREE" AU...
Mnamo wiki iliyopita nilipigiwa simu ilisema anapiga kutoka African Gold Mine(AGM)akisema cv yangu imepita katika hatua nyingine kwahiyo wiki lijalo kuna interview iwapo ningependa kupita kwenye...
Are you a web designer/developer?
Looking for employment?
Are conversant with CMS such as Joomla?
Send me your number and I will connect you. Someone is looking for you.
Wakuu naomba msaada wa kuelewa wapi na nani anayecertify vyeti. Serikali imetoa tangazo kupitia sekretarieti ya ajira sasa kwenye masharti ya jumla kuna hiki kipengele (kwenye red)
GENERAL...
HABARI ZENU WAKUU.
Jamani wenzangu kutokana na ugumu wa kupatikana kazi na kupigika mtaani nimeamua kuja hapa jamvini. nadhani kila mtu anaelewa jinsi ambavyo vijana wengi wanasota mtaani,nami...
Wana Jf naombeni kuuliza hivi wale walio fanya aplication za kujiunga na jesh la jkt wameshaanza mafunzo, pia watakaa mda gani hadi kujiunga na JWTZ tena?
Mimi ni kijana niliyehtimu kidato cha nne mwaka jana! Natafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya aina yoyote ile! Mshahara 2taelewana. Mawasiliano; email. Crissalex1@live.com. Simu namba. +255719665022.
TANZANIA NATIONAL PARKS
VACANCIES ANNOUNCEMENT
Tanzania National Parks (TANAPA) is a Parastatal organization charged with legal mandate to manage and regulate the use of areas...
Natumai nyote wana JF ni wazima
Kwa kauzoefu kangu kadogo kuhusu written interview za tume ya ajira
1. Watakiwa urudi tena kwenye madesa yako yaliyojaa vumbi kutegemeana na nafasi uliyoomba...
Wah. salaam, hivi inakuwaje SUMATRA NA TBS walitangaza kazi muda mrefu sana na hadi sasa hawajaita watu kwenye usahili, au ilikuwa chnga la macho watu wao wameshaanza kazi!!!!!!! Tuambizane wajemeni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.