Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Mara nyingi nimekuwa msomaji wa mambo yanayohusu ajira na kazi,humu watu hutoa mawazo yao na wengine kuomba ushauri nini wafanye ili either wapate kuajiriwa ama kujiajiri kulingana na elimu zao...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau waliofanya written interview tar 27 april je wameshaita kwa oral interview?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mbona kimya, au ndio kama kawaida tumepoteza muda wetu ku apply.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kwa wadau ambao mna fuatilia haya mambo ya ajira hawa jamaa wameajiri watu mwezi huu, lakini wameacha malalamiko mengi. wadau wanauliza kwani walitumia vigezo gani? maana kama sifa wapo wenye...
1 Reactions
48 Replies
12K Views
Please ndugu zangu wa JF, kwa anayefahamu kuhusu interview ambazo PRICE WATER COOPERS walisema watazifanya kuanzia 07 hadi 13 mwezi huu, vipi watu wameshanza kufanya hizo test zao, maana ijumaa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
nataka kujua mshahara wa care international ni shs ngapi kwa fresh graduate....natanguliza shukrani
0 Reactions
27 Replies
7K Views
nimesikia leo tarehe 27 april mtanzania news wametoa shortlist ya walioomba kazi ya hakimu mkazi daraja la pili,kwa aliepata electronic source ya hiyo kitu please naomba aiweke humu tuweze...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Sybase ASE / IQ consultant (10 positions) Server Side Solutions -Nairobi LAMP and Javascript Programming Interns Toolkit...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
vp wadau kuna zile kazi zilitoka care, deadline ilikuwa april 14 vp washawaita watu interview au bado...duty station ilikuwa tabora
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya wadau wa JF kwenye jukwaa letu la Kazi na tenda, wanakuwa kama wametumwa na shetani, ukiandika post yako wao kazi yao ni kuandika utumbo na kukatisha watu tamaa. kwa mfano mtu...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wale waliohudhuria written Interview Msimbazi Center kwa nafasi za Loan Officer, Cashier na IT kuna yeyote ambaye ameitwa kwa ajili ya oral Interview?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wana jf habari zenu. Tafadhali kwa yeyote anayejua ni lugha gani inatumika katika interviews za utumishi naomba msaada. Na la pili kama kuna yoyote mwenye idea na written za utumishi pia asisite...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia...
3 Reactions
63 Replies
9K Views
Graduate in Bsc in Property and facilities management from Ardhi University(Former Uclas).4+ years of experience in retail stores management is kindly looking for a related job.Please...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa yeyote yule mwenye tetesi shirika la reli nje, naomba anijulishe.Ni qualified nikiwa na licence ku-operate Locos independently.+255783-933-976
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani kwa wale tisa tuliofanya interview pale TWB walisema watatujulisha kuhusu succss(going for oral interview) or failure,vipi mshaitwa tena?taarifa tafadhari.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya leo ndugu zangu wa JF. Please kwa anaye fahamu salary scale ya NBAA 8/9 ni kiasi gani, naomba anifahamishe. Nina ndugu yangu ameitwa na Utumishi kufanya nao interview.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
katika kusubir ajira naomba mnisaidie biashara ya kufanya ya mtaj mdogo.
0 Reactions
1 Replies
971 Views
jaman habar zenu, eti deadline uhamiaji lin? Nataka omba**dgree in language**udsm.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
/////////VACANCY//////// Web Development, Graphics & Social Media Requirement; motivational letter, CV, portrait picture, reference of past work, salary expectations. Age ; 18 - 40 Email ...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom