Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

naombeni mnisaidie eti nafasi za police kwa ngazi ya diproma na degree zimetoka?? plz plz msaada wenu
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Guardian la Ijumaa 4-May-2012 kuna tetesi wametangaza kazi za Bandari Tanzania...... Mwenye gazeti atujulishe je hizo kazi zipo kwenye gazeti hilo au aliyeniambia hakuwa na uhakika? Tusaidiane...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
APPLICATION FOR POSTGRADUATE SPONSORSHIP Written by Administrator Wednesday, 11 April 2012 14:36 The Ministry of Health and...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForums Tafadhari mwenye uelewa juu ya kufungua organization ambayo inakua kama charity plz naomba msaada, maana mimi na wenzangu wa hapa TZ na UK tunataka fanya hichi kitu plz...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Find Jobs Vacancies In Nigeria Daily recruitment-nigeria.com Jobs Vacancies In Nigeria Accounting Jobs Vacancies In Nigeria Banking Jobs Vacancies In Nigeria Engineering Jobs Vacancies In...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta mtu wa kunidhamini ili niweze kutoa albam yangu ya nyimbo za dini,nyimbo ni nzuri nina uhakika zitauzika kwani zina ujumbe mwema!BARIKIWA1
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna kipindi tanapa walitangaza nafasi mbalimbali za kazi. Lakini mpaka sasa sielewi mchakato wa mzima ulikwendaje? Mwenye kufahamu anijuze.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
http://www.tz.undp.org/docs/Advert%20LSA%20-%20UNDSS.pdf
1 Reactions
2 Replies
2K Views
JOB TITLE: COUNTRY MANAGER-UGANDA REPORTS TO: NATIONAL SALES MANAGER DUTY STATION: UGANDA Role Purpose Statement: - To sell Precision Air products and network to achieve the set sales and...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Utamaduni wa kazi na ajira ulianzishwa na wakoloni, miaka hiyo tuliwafanyia kazi bure bila ujira, unapoulizwa uzoefu maana yake kama miaka ya uzoeu ni muhimu mtu mwenye umri wa miaka mia hamsini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF. Naulizia kama COASCO na Wizara ya ushirika wameita watu interview? COASCO ilikuwa assistants auditors na wizara ilikuwa maafisa ushirika daraja la II. Msaada please!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau wa Jf!! Nimetumiwa sms juu ya uwepo wa interview ya Accessbank itakayofanyika Msimbazi Centre Ijumaa saa 1:30 PM je ni kuna mwingine aliyepata ujumbe huu?nataka kuhakiki...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Job Title: System Administrator Duties and responsibilities • Operate, provide instant support and deal with trouble shooting in the existing systems e.g branch operations, E-mail, internet...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau naomba kuuliza, tuliitwa kwenye Interview na hawa jamaa wa ABG kwa nafasi ya CCTV OPERATOR tarehe 26/04/2012, wakasema watatujulisha?? So nauliza kwa yeyote ambaye amepewa feedback????
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi naomba nijulishwe,usaili kwa walioomba kazi[nikiwemo] katika jeshi la magereza ni lini,na tutajuaje kuwa leo ndo usaili? Maana siku tunapeleka barua za maombi walikuwa wanakusanya tu na...
1 Reactions
5 Replies
10K Views
dah mazee ile nyomi niliyoikuta pale msimbaz centre ktk interview ya access bank ni kiashilio tosha kwamba vijana tumeshikwa pabaya kwa hili sakata la ajira.watu ni zaidi ya miatatu na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamvi, naomba msaada wa taharifa juu ya Nani namwandikia,,post ninayoomba na taharifa nyingine muhimu.. Mim ni form 4 leaver.. Pls help..
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Nimepewa taarifa ya kuwa katika gazeti la habari leo na daily news ya jana tarehe 30.5.2012 kuna nafasi za kazi za maafisa tarafa 145 nchini TANZANIA. Naomba aliyebahatika kupata magazeti hayo...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wandugu hivi mtu mwenye degree Police anapokea ngapi kwa mwezi Nataka niende ila nasita.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Poleni na miangaiko yenu wan JF naombeni lakini msaada wenu kidogo ivi niki soma degree ya Public Relations and marketting kweli ntaweza kuchukuliwa kufanya kazi inayousu Marketing naombeni msaada...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom