Nime gusiwa habari za uhakika kwamba UN Mission ya South Sudan (UNMISS) inaanza kutangaza jobs za UNV kwenye fani
tofauti tofauti ikiwemo IT, Engineering, Transport, administration, n.k. The...
Habari zenu wadau! nawaombeni kwa mtu yeyote anaefahamu sehemu zenye nafasi za kazi za Migodini naombeni mnijuze manake nisha-fight lakini hali bado ni tete! nina DIPLOMA IN MINING ENGINEERING...
Habari ndugu zangu,mimi ni mwalimu niliyehitimu mafunzo ya ualimu SHAHADA,BA.Ed mwaka jana.february mwaka huu nikapangwa katika ajira ila nimechelewa nikaripoti april,nimeambiwa hakuna pesa za...
Wadau naulizia kwa wenye uzoefu na Access bank,interview ya kwanza huwa inakueje(oral au written) coz wame n sms niende kufanya interview,na je kama ni written huwa ni maswali gani?,au ndo general...
TOTOLUCK na ZOOM nitagulize kutoa shukrani kwa juhudi mnazofanya kuleta matangazo ya kazi.
pamoja na hilo nina hojaifuatayo:
TOTOLUCK na ZOOM yako mnalostisha waombaji.
hebu elekeza namna gani...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/B/78 30 Aprili, 2012
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati ya Ajira katika...
katika harakati za kutafuta kazi nilikutana na rafiki yangu ambaye tulisoma naye shule moja olevel,akaamua kunipigia pande kwa jamaa mmoja benki!!
nikaambiwa nipelekee cv haraka,kweli siku ya j3...
Wadau,
Changamkieni hii position kwa wale wanaoqualify. Muhimu kuzingatia highlight kwenye expirience. Hiyo ndio criterai yao kubwa.
Nawatakia applications njema.
Caren.
POSITIONS ADVERTISEMENT...
Mimi ni kijana mwenye miaka 29, nina Advanced Diploma in Accountancy toka IFM yenye GPA ya 4.2, nina CPA na MBA. Ninapenda sana kufundisha vyuo lakini nimekuwa nikikutana na ugumu kutokana na kuwa...
Nilifanya usaili na hawa jamaa wanaojiita erolink,baada ya kumaliza taratibu zote wananiambia kwamba wao ero link ndio watakao niajiri,halafu duty station yangu itakua kwenye hiyo kampuni husika...
Description
Teachers have described the teaching environment at Iringa International School as ideal. Classes are small and students are serious about learning. They and their parents consider the...
SIFA: LAZIMA UWE UMESOMA DIPLOMA/ DEGREE YA ELIMU CHUO CHOCHOTE KINACHOTAMBULIWA NA SERIKALI NA KUFAULU KWA MASOMA YA CHEMISTRY NA PHYSICS.SHULE WILAYANI KISARAWE NA USAFIRI UKO KILA SIKU YA KAZI...
KAMA UNA DIPLOMA YA UALIMU AU GRADUATE YA CHEMISTRY NA PHYSICS NIPIGIE NIKUPE KAZI NA MSAHARA NI MAELEWANO. KWA MAWASILIANO PIGA 0713007977/ 0786 007977. AU SENDI YOUR CV TO...
Halloo wana JF mimi ni kijana muhtimu wa kidato cha nne na nilifanikiwa kupata four ya 33 nikiwa na D mbili ya biology na chemistry, cnauwezo wa kujiendeleza kutokana na ugumu wa maisha...
Rais Jakaya Kikwete
Waandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameshindwa kutangaza hadharani kima cha chini cha mshahara cha Sh315,000 kwa mwezi kilichoombwa kwa mara nyingine na Shirikisho la Chama cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.