Mimi nimeajiriwa Arusha toka Dar,katika taratibu natakiwa nilipwe fedha ili nilete familia yangu ktk kituo changu cha kazi. menejimenti inasema nitafute bei ya kusafirisha mizigo yangu tani 1.5...
TANGAZO LA AJIRA
Jeshi la Polisi liko katika mchakato wa kuajiri vijana kujiunga na Jeshi kupitia mashuleni.
Tumeamua kuurudia utaratibu ambao ulikuwepo zamani wa kuajiri moja kwa moja toka...
Natafuta Kazi -Arusha Mimi ni mgeni katika jukwaa hili, naombeni msaada wenu nipo Arusha na nina tafuta kazi hata kwa mtu binafsi nitafanya si lazima serikalini.Professional yangu ni...
Majina ya walioitwa kwa ajiri ya interview kwa fani mbalimbali yamechapishwa katika gazeti la daily news la leo
kwa wale walioomba litafteni gazeti hilo
Job-
Selling of Computer items and IT related products and electronics.
Packing-
Commission basis on sales.
No salary applicable.
Qualification Required-
Should be able to talk passionately...
Mimi Dentist,nina ka degree kamoja na pia nina mwaka mmoja kazini nipo Arusha private hospital.Natamani sana kuingia jeshini lakini sijajua mshahara wa captain wa kuanzia ni tsh ngapi?
Na pia...
Kwa yeyote mwenye NGO'S, company, Industry na mwenye uhitaji wa fani kama hii nipo tayari kwa muda wowote nitakao hitajika. Utalaamu wangu ni kama ifuatavyo;
computer application:- Microsoft...
Operating from Arusha, Tanzania a fast growing audit and accounting firm has one vacant for assistant tax consultant. His/her roles will be handling tax affairs of various clients and doing audits...
Wana JF,
Kuna jamaa yangu ameniomba nimtafutie wafanyakazi wa ndani wawili.
Wa kwanza aweze kuongea kiingereza, atakua na kazi ya kumlea mtoto tu. Ataishi humo humo. Awe mdada, kama ana...
I'm very glad for jammiiforums members to said that shortly required the post above having experience in the field as contractor or consultant firm for a minimum of 5yrs consecutively in the busy...
Jana niliona kwenye ITV habari za saa kwamba kuna kikundi cha profesition wasio na kazi (GPD) jamani tunijiunge na kundi hili,mwenye taarifa wapo wapi atoe habari.
TANGAZO LA KAZI HARAKA SANA.
TANURI MEDIA CAMPANY
Inawatangazia nafasi za kazi kwa
vijana watanzania (Jinsia zote) na
wenye elimu, sifa na Ujuzi na
wenye kujituma.
Vijana hawa watafanya kazi...
wana JF wenzangu naombeni kuuliza mimi ninadiploma ya journalism je ninaweza nikapata kazi kwenye makampun ya mawasiliano kama airtel, voda, tigo...... na jinsi gani ninaweza kupata naombeni...
Hello wakuu,
Naomba mnichambulie kwa kina katika hili, kati ya kujiajiri na kuajiriwa katika mazingira yetu ya kitanzania bora lipi??
Natanguliza shukurani zangu wakubwa.
Mimi ninakipaji cha kuchora, ila sina vifaa.
Na pia uwezo wa kufanya kazi zikawa nzuri na za kuvutia bado ni mdogo, kutokana na kutojishuhulisha mara kwa mara na kazi hii. Nina marafiki zangu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.