1) Best Tanzania Jobs- TZ Jobs, Vacancies, Careers, Ajira in Tanzania, Kazi
2) JOBS TANZANIA
3) Job Opportunities | Embassy of the United States Dar Es Salaam, Tanzania
4) dullonet.com
5)...
Uandishi wa Kitabu cha Marehemu Regia Mtema (Biography)
Kamati Teule iliyochaguliwa kuanzisha Taasisi ya Regia Mtema Foundation imedhamiria kufuatilia kuandikwa kwa kitabu cha Marehemu Regia...
Hello wanaJF, mimi nimegraduate mwaka jana with my degree in marketing,but nikapata matatizo ya kifamilia so ckuweza kuanza harakati za kutafuta kazi mapema, sasa nimetulia nataka nisambaze CV...
Ajira,tenda kwa vijana sasa hivi hakuna kwa sababu mwananchi kama hakusoma hapati kazi na tujiulize je kwa wale wasiosoma inakuaje.Vijana ndio wanaotakiwa kuendeleza nchi yetu wanapokosa kazi...
Father was a hardworking man who delivered bread as a living to support his wife and three children. He spent all his evenings after work attending classes, hoping to improve himself so that he...
Kwa wale wote waliomaliza degree, masters katika fani tofauti tofauti, kuna nafasi nyingi za kazi zimetangazwa Moshi University. google MUCCoBS zicheki
MWANANCHI COMMUNICATIONS LIMITED
Position: Business Reporter -The Citizen
Education/Qualification: First degree in related field
Position: Data Analyst-The Citizen
Education/Qualification: At...
Mkuju River Project
VACANCY
Mantra Tanzania Limited (Mantra), operating as a subsidiary of Uranium One, is focused on the potential development of Uranium Mine at the Mkuju River Project...
Wakuu heshima kwenu, samahani naomba mtu ambaye anaweza kuwa na taarifa ya mahali/taasisi ambapo naweza pata kazi au nafasi ya kujitolea khsiana na uhifadhi wa wanyama pori/mazingira ndani au hata...
Organizational Research on Poverty Alleviation Tanzania is looking for:
Research Officers (11 post)..
Qualification: Bachelor Degree in Development studies, Development Planning...
Kama una fani ama una jamaa yeyote mwenye fani ya ualimu katika masomo ya B.Maths&Physics(A-Level) basi tuwasiliane ama kwa kunipm ama katika simu no 0717522175
Maelezo mafupi ya kazi ni kama...
wana JF wenzangu nipo arusha naomba mkisikia sehem wanatafuta mtu wa kufanya kaz ya secretary, receptinist, au customer care na stationary mnijulishe kwani ninauzoefu wa kaz hizo pia nimesomea na...
Kama una fani ama una jamaa yeyote mwenye fani ya ualimu katika masomo ya B.Maths&Physics(A-Level) basi tuwasiliane ama kwa kunipm ama katika simu no 0717522175
Maelezo mafupi ya kazi ni kama...
Habari wana Jf.
Jamani mimi napenda sana utangazaji hasa Tv & Radio Broadcasting. Najijua nina kipaji cha kutosha kutangaza. Sijasomea fani hiyo sehemu yoyote. Kama kuna muhusika humu ndani ya Jf...
wadau kuna mahali wanahitaji marketing officer nane,
uwe na experience ya angalau miaka 2 au graduate wa chuo,
uwe na uwezo wa kujieleza kiswahili na kiingereza,
Tuma maombi kwenye...
Kwa taarifa za harakaharaka na zisizo rasm imesemekana kwamba siri kali imefuta hati ya ajira kwa mwaka huu. Sasa ndugu zangu na mie tujibanebane hukuhuku kwenye sekta binafsi
SODEXO
Position:Store Keeper
Education/Qualification: Have a minimum Degree from a recognized University in storekeeping, purchasing or related field
Detail: Mwananchi 22 march 2012, Deadline 31...
Technician anahitajika in civil engineering,
Tuma CV na refferee mmoja Register Engineer ambatanisha na namba yake ya registration
Apply to HR Mchubanga enterprises
Box 71997 Dar es salaam...