Tell me a little about yourself?
• Where would you like to be in five years? Ten years?
• What made you choose to apply to Area sales manager?
• What have you learned...
Wadau
Mfanyakazi wa ndani anahitajika.
Uzoefu: Two years experiance
Jinsia: Msichana
Elimu:Darasa la saba hadi form IV
Dini: Awe mkristu anayekula mkuu wa meza
Umri: 15-24years
Location...
Wadau wa jamvini heshima kwenu.Mimi naishi dar maeneo ya mwenge.Nina diploma ya computer science ila tangu nimalize sjabahatka kufanya kaz rasmi kwenye fani yangu kwa hyo naomba kuwezeshwa kupata...
We are looking to hire on a contract basis 2 construction engineers to oversee or terminal modernisation project. the project is expected to last 1.5 years. the two candidates should have the...
Wote tunatambua ya kuwa ajira ni muhimu katika maisha ya mwanadamu, pia tunatambua ya kuwa kama kijana kuishi ni muhimu kuwa na ajira hivyo ukosefu wa ajira ni jambo gumu kwa kijana, kuliona hilo...
Kwa wale wote wenye taaluma na wasio na taaluma yoyote napendekeza yafuatayo:
1. Tambua kipaji na mtaji wa asili ulionao.
2. Badili mtizamo wa kimaijsha.
3. Kujitambua wewe na thamani yako katika...
machine ni mpya kabisa ipo sokoni bei ni 65,ooo$ condenser zake ni sealed ipo malawi ila kwa
mtu atakayehitaji baada ya makubaliano italetwa Tanzania nimeambatanisha picha na
catalogue yake...
Kampuni mpya Ipo mwenge inatafuta Binti/Mdada kwa ajili ya kuwa Secretary/ambaye ana weza ku handle customer service vema.Mshahara 300,000 Take home,
Awe ame maliza kidato cha nne au zaidi.
awe...
Jamani hii kitu ya ukweli; nimefuatilia nikaona ni watu wengi wanajiunga; na kwa sababu haicost
nimeona niwashirikishe wana JF mjiunge ili ifikapo hapo april tuanze kuvuna pamoja.
Nimeunganisha...
habari jf.mdogo wangu anatafuta kazi ya painting/panael&beating.anauzoefu wa 6 kwa magari ya ainazote years.elimu form 4.kwa mawasiliano.email.saidi49@ymail.com _phone 0782 990567.asanten
Jamani, nimeona kwenye daily news sekretariet ya ajira imeita raia kwa ajili ya usaili tarehe 16 ya mwezi huu. nafasi zilizopo ni za Medical officer grade II, Inspector Grade II, Research...