Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

he following job opportunities have become available for a very well known, up-market establishment in Arusha. CHEFS 1. CHEF de CHUISINE (HEAD CHEF): You will be reporting...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
We have a viable business which has shown a good trend as far as profitability is concerned, If you are interested to to invest as well as being a partner in a start up business with the capital...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mwl diploma holder na experienced anatafuta kazi ndani ya jiji la DAR. Uzoefu wake ni wa kutosha. Practicals ni mzoefu. Anahitaji kusoma masomo ya jioni na ndiyo maana anatafuta kazi Dar.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nina masters in intellectual property rights law. kwa yeyote mwenye informations kuhusu chuo kinachohitaji tutor wa intellectual property rights law anitaarifu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kuna baadhi ya waajiri hasa ktk mashirika binafsi wanakwepa kuajiri wasichana, mi niliwah kusikia katika ofisi moja mkurugenzi akisema ukiajiri msichana graduate una hasara, akifanya kazi kidogo...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Salaam mpendwa natumaie upo mzima wa afya. NAOMBA kwa yeyote anae weza kunipa contacts za elimu utawala (afisa elimu) rungwe-wilayani/tukuyu. au kama una uelewa kamili wa rungwe kiujumla naomba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Korea International Cooperation Agency/ Korea Rural Community Corporation THE PROJECT FOR THE INTEGRATED RURAL DEVELOPMENT PROGRAM, PANGAWE MOROGORO REGION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA The...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
habarini wana jf, kuna m2 anatafuta part time ya accountant arusha ! mwenye infor zozote anijulishe assanteni.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
a web designer is needed to manage a our website. he should have no less than to years experience and possess knowledge in the following areas php mysql html5 data base programing if intrested...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
  • Closed
Wakuu, kwanza napenda nimshkuru Allah kwa kunijalia kupata Ajira. Pili wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie niweze kupafaham huko Ukerewe kwa wale wenye kupajua coz nimepangiwa kwenda kufanya kaz...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Wadau kwa yeyote mwenye taarifa juu ya post za tutorial assistant chuo chochote tujulishane, its a post i real like,
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Heshima mbele wakuu, walioomba nafasi hizo hebu bofya www.pmoralg.go.tz, www.utumishi.go.tz
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wadau kuna sehemu nimeona tangazo la kazi na wanasema kiwango cha mshahara ni SS 2 . hizo ndiyo sh. ngapi? kwa anayefahamu tafadhari nieleweshe.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hawa jamaa walitutangazia nafasi kibao tangu last year mwishoni, washaita watu kwa intavyuu. Mwenye taarifa kinachoendelea tafadhari atuwekee hapa.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jobs in Tanzania, Jobs in Uganda, Jobs in Kenya ,Jobs in Rwanda, Jobs in Southern Sudan Enjoy
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari, samahanin mwenye uelewa kuhusu tamico ni ofis inayoshughulika na nin, na mahali ilipo ofisi zake
0 Reactions
1 Replies
3K Views
  • Closed
wadua mwageni cv huyu mheshimiwa nataka nijue Ahsanteni wana jamii
0 Reactions
12 Replies
6K Views
nadokezwa eti jumamosi iliyopita hatua ya pili ya waliofanya interview ya kazi za UDOM naambiwa waliitwa kwa ajili ya Oral Test je ni kweli ?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anatafutwa mtu kujaza nafasi tajwa hapo juu, atafanya kazi mikoa tofauti na kituo cha kazi ni dar, awe na uzoefu walau miaka miwili kwenye usimamizi wa miradi. Awe amesoma Elimu ya chuo Kikuu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari?,mfano kampuni au taasisi imetoa nafasi mbili au tatu ambazo UNAQUALIFY zote,je unaweza omba zote?,na ktk uombaje unatuma bahasha mbili au unatuma katika package moja lkn barua mbili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…