1
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/A/146 22
nd
Desemba, 2011
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati ya Ajira katika...
Wanajamvi kwa muda mrefu nikisoma baadhi ya matangazo ya kazi wanataka CERTIFIED certificates.Nimekuwa nkipuuzia hlo suala ila mambo hayawi mambo.(spat kaz)Jamaa yangu m1 ni mwanasheria akaniambia...
kwa wale wanaotafuta kazi njooni tufanye kazi katika muda wetu wa ziada kadri hunavyofanya kazi ndivyo kipato kinaongezeka njoo TIENS Msasani karibu na shule ya msingi msasani B njoo j5 saa 5 kwa...
SAVE THE CHILDREN
Position: Advocacy Manager - Based in Dar es salaam
Education/Qualification: Bachelor's degree ideally in social science, Community Development, LLB
Detail: Mwananchi 22 December...
Wakubwa,nikiwa ni mmoja wa wahanga wa loans board,pamoja na kadivision kangu kazuri niliko nako,nimeamua kujitafutia ajira huko kwenye hayo majeshi yetu,bora nikawe mlinzi wenu pamoja na mali zenu...
Wanajamii, wiki mbili zilizopita niliona thread iliyokuwa inaongelea mada hii. Na wengi kati ya waliochangia walisema bado hawajaita kwa ajili ya kuanza kazi. (Nasikitika sijaiiona na sina uzoefu...
Jamani kama kuna mtu amepitia gazeti la uhuru la leo nasikia wametoa nahisi za kazi mojawapo ni assistant accountants,naombeni details zaidi coz nimeshindwa pata gazeti
Wakuu naomba mnijuze, hivi katika swala la kuajiri chuo ulicho soma ni moja ya kigezo, mfano udom nasikia watawapa kipaumbele wale walio soma vyuo vya serikali na vyenye majina. Hio imekaaje huko...
naomba kwa aliye na uwezo,atuwekee Law firms za hapa nyumbani,kwa websites zao, tujaribu bahati huko hata kwa kufanya kazi kwa kujitolea ili tupate uzoefu kuliko ilivyo sasa kukaa kitaa tu bure.
ARUSHA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY
Position: Financial &Administration Manager
Education/Qualification: Degree OR Advanced diploma in Accountancy/Accounting and finance
Position...
KILOMBERO SUGAR COMPANY LIMITED
Position: Plant Engineering
Education/Qualification: Advance diploma in Mechanical Engineering from a recognised Institution
Detail: Mwananchi 20 December 2011...