Natafuta kazi ya accountant. Am a graduate of Bachelor of Business Administration Accounting 2011. Computer literacy (Ms word and excel).......... JF members I need your assistance please...
Jamani wadau naomba kuuliza hivi hawa jamaa wa mgodini hua wako serious?...maana mwaka jana walitoa nafasi za kutrain watu chaajabu waliita watu kwenye interview ila hawakuchukua hata mtu mmoja...
Habari zenu banduguz,i hope mmejiandaa vyema kufunga na kuanza mwaka.
naomba kuuliza kama kuna mtu yoyote anamfahamu dada mmoja ambaye anadeal na kutafutia watu kazi kwa malipo. nasikia anaishi...
Ladies n gentlemen, kuna yeyote ana idea hawa Alliance one wanalipa kiasi gani kwa post design hii. Nimefanya written interview naskilia ingine. axanten
Wadau nimesikia NMB wametangaza kazi ktk gazeti la the guardiani la leo (27/12/2011), km kuna ambae amelipata gazeti hilo atupe taarifa, nasikia magraduate ndo wanatakiwa
Jamani wizara ya afya bado hawajatoa majina ya kupangwa vituo vya kazi au wamewatosa walioomba mwenye taarifa zozote mdogo wangu hoi anashindwa kuamua afanye lipi sasa
Am a graduate Bachelor of Business Administration in accounting.... Computer literacy (MS word & MS excel). Contact me : yusto_john@yahoo.com:hat::A S 465:
heshima yenu wapendwa! Wapendwa nna mdogo wangu anachukua diploma ya enterprise management&accounts,anatafuta sehemu ya kufanya mafunzo kwa vitendo(field),naomba msaada wa sehemu anaweza omba...
Ndugu wanajamvi jana nimesoma post hapa kuwa nchi yetu inakalibia kufikia kiasi cha kutokopesheka kutokana na inavyokomba pesa kwenye taasisi za fedha! Maskini Mkwele! Napenda kuuliza hapa kwetu...
Mamboz wana blogg!!
Jamani mie nimetafuta kazi hadi hamu inaisha...mimi nina advanced dip ya i.t ila natafuta kazi kwenye mashirika au n.g.o's.Juzi juzi tu nimeomba egpaf na nilikuwa nafuatilia...
Napenda kuwasalimu wote mliopo kwenye jamiiforum kwani ni mara yangu ya kwanza kupost topic. Kuna jambo nisilolielewa labda mnaweza kunisaidia. Nimekuwa nikitafuta kazi kwa muda sasa japo...
Kama ilivyo kwisha tangazwa kuwa ajira zimepungunzwa 50%,watumishi watakaoajiliwa ni kama ifuatavyo:Polisi(1,351),Magereza(485),Wizara ya Elimu(417),Kilimo(294),Jamii,Jansia na...
JOB PURPOSE
Reporting to a Principal Engineer/Senior Engineer, you will be responsible for assisting in planning and administering all operations in regard to network extensions, maintenance...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.