We are looking for someone with good knowledge on either CakePHP or Yii PHP. We have one month project, if you are the right person and interested on this please contact us through info@softlink.co.tz
Salaamu zenu wadau!
Nimepata barua kutoka watu wanajiita EUROPEAN & AFRICAN DEVELOPMENT FOUNDATION (INC)
(East Africa Ltd), kwa kazi niliyo apply hapa Dodoma.
Nitaifupisha kama ifuatavyo...
Wana JF hope wote muu wazima, nimepewa hili ombi na ndugu yangu amemaliza chuo majuzi hapa sasa anatafuta kazi yeye ame specialize kwenye MSc Finance & accounting. anaomba msaada popote aweze...
Finance Manager at Surface and Marine Transport Regulatory Authority(SUMATRA) in Dar Es Salaam
Performance Auditor II (Information Systems Auditor) at Surface and Marine Transport Regulatory...
Habari wana JF naomba kujua viwango vya mishahara katika salary scales zifuatazo:
{1}TGS A
{2}TGS B
{3}TGS C
{4}TGS D
Angalau izo tu .Naomba anayejua aninidadavulie plz
Wadau nimeitwa oral interview UDOM, kwa upande wa Lab Engineer, kwa waliofanya ile ya writing wawe karibu na simu zao. Pia kwa anayejua kuhusu hii nafasi na benefit zake tafadhali anijuze.
Wa jf km m2 anainfomation na kazi za namna hyo tupeane tarifa to phone # 0757922293. Elimu yangu ni km ifuatavyo degree moja ya udom ambayo ukiconvert ni sawa na certificate yyte vyuo vingine vya...
Jamani wadau nauliza kama oral interview kcmc imefanyika maana walitoa nafasi za kazi deadline 31.11.11 nashangaa mpaka sasa kimya au walishafanya mtujuze maana udom nasikia tayari upande wa afya...
Wameita watu kwenye usaili wa kazi ambazo walikuwa wametangaza hapa wilaya Nzega mkoani Tabora. Lakn cha ajabu wametoa namba ya voda ambayo wanataka walushiwe mpesa ya shiling elfu kumi eti kwa...
HABARI ZENU!
wadau mimi ni graduate wa mwaka huu, shahada ya environment, nimepata ajira ya kufundisha na wananilipa laki 450, pamoja na usafiri wa sehemu ninayoishi hapa moshi, na pia nimeitwa...
wakuu yeyote anayeweza kunisaidia niweze kupata mawasiliano na UNHCR kigoma na ngara nitashukuru,nina certificate na diploma ya law,naskia kule zina soko sana,heri ya mwaka mpya wandugu
RE: VACANCY ANNOUNCEMENT
Position1: Chief Manager-Credit
Education/Qualification: Degree in Banking
Position1: Sme Manager
Education/Qualification: Holder of B. Com/BBA Degree, BA Economics...
kama unasubiri kazi ya serikali za aina yeyote ile kama ualimu kilimo na afya tafuta altenative mapema kwani serikali hiko hoi taarifa zaidi soma mwanahalisi la j5 wiki hii mi nimeanza wewe je?
Mpelelezi wa kujitegemea anahitajika
sifa
*awe mkazi wa dsm
*awe na uwezo mkubwa wa kufikiria(creative) na kufanya maamuzi ya haraka
*kufahamu kompyuta, kiingereza, police au sheria ni sifa za...
Natafuta kazi ya Uhifadhi, M & E or Environmental officer. Am a graduate of Bachelor of science in Wildlife science and conservation. Computer literacy (Ms word and excel).......... JF members I...
Ndugu zangu na masikini wenzangu ambao hatuna mtu tunayemjua katika kipindi hiki kigumu cha kupata kazi ili atusaidie kupata kazi tuna wakati mgumu sana wa kufanikiwa.
Mimi ni mmoja ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.