Nimejaribu kufuatilia kwa makini sana na nimegundua ajira nyingi katika taasisi zetu za serikali huchukua zaidi ya miezi 2 mpaka watu waitwe katika interview au kazi.Tatizo huwa nini hasa kwa...
vipi wana jf,
hivi hii recruitment agency erolink ni ya ukwee kwa kusaidia watu kupata kazi au maana ma rafiki wangu wengi wanaifagilia sana na nimewahi kutuma cv yangu bila mafanikio au...
Kuna mtu anahitaji kijana awa kuuza duka/stationary mwenye sifa zifuatazo:-
-AWE MWAMINIFU
-awe wa kiume, natayari kufanya kazi mpaka saa 3 usiku.
-awe anaishi maeneo ya mwenge-dsm, au jilani...
Jamani mimi ni mteknolojia msaidizi maabara Laboratory Assistan natafuta kazi hiyo mkoa wa Dar Moro pia (Arusha au Moshi) nawasilisha kwenu wanajamvi penye jungu kuu
Heshima zenu Jf na wapenzi wa jukwaa letu la kujitafitia ajira.
Kuna kazi nimeona imetangazwa yenye ngazi ya mshahara PUSS 13-14 sasa wadau naombeni mnijuze hiyo ni kama shs ngapi za TZ.
hiii...
wadau habari zenu, nasikia daily news ya tarehe 24.12.2011 ina tangazo la kazi za serikali, tafadhali aliyeziona naomba ani update.
na pia eti mtu usipokuwa na transcript huwezi pata kazi serikalini
Kuna mkoa mmoja nimeenda nikakuta kuna watu wanafundisha watu wanaotafuta CPA lakini hao walimu wenyewe hawana CPA, inakubalika hii? Au kama mtu amesoma finance anaijua vyema anaweza kufundisha...
Kama unaomba kazi mahali nakushauri usiweke namba yako ya Tigo kwenye barua yako au CV kama namba ya mawasiliano utakosa kazi. Nimeshuhudia live jamaa watano wanasema hawakupigiwa simu kutaarifiwa...
Aisee leo ni siku ya 41 tangu tufanye Interview pale NHIF katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu!!
Mtu yeyote mwenye jipya au tetesi zozote maana zile nafasi zimetangazwa kuwa ni TEMPORARY...
Kuna dada angu anatafuta kazi yupo tayari kufanya kazi sehemu yeyote ile iwe kijijini au mjini.amepata DIPLOMA yake CHUO CHA USTAWI WA JAMII kilichopo LUNGEMBA(iringa.mafinga)na GPA yake ni nzuri...
jamani naomba kuuliza nataka nikasome sheria najua soko lake gumu lakini vitu gani vya ziada ambavyo vinaweza kunisaidia kupata ajira haraka(kufikiriwa pale nitakapoomba kazi),mfano nilisikia watu...
Nimesikia fununu kuwa serikali imerejesha mfumo wa kuajiri walimu kwa kupitia wakurugenzi wa halmashauri; na hivyo wahitimu wa ualimu wa mwaka huu 2011 watatakiwa kutuma maombi ya ajira kwa...
AFRICAN BARRICK GOLD
Position1: Criminal Investigation Analyst
Education/Qualification: Experience/Qualification in the collection,management and dissemination of Intelligence
Detail: Mwananchi 24...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.