natafuta kazi nimemaliza degree ya sheria mzumbe university mwaka huu sasa natafuta sehem niweze kujifunza mpaka nikianza law skul mwanza wa mwaka kesho
Wakuu natumai muu wazima.
Naleta hili ombi kwenu mnisaidie mawazo nisije kuta naingizwa mkenge...
Kuna mtu anataka kuniuzia plot ambayo iko kwenye hatua za mwisho kuwa surveyed michoro nimeiona...
Kwa saiv michakato midogo midogo ndo inamalizikia, kuatakua na nafasi za kazi ila kwanza tunatafuta company secretary.
Sifa:
1: Certificate/Diploma ya BA/Marketing
2: Uzoefu wa angalau mwaka...
nimewahi kufanya kazi kama msimamizi wa miradi katika ngo moja yenye makao yake hapa mjini, hvyo ninao uzoefu kiutendaji wa miaka miwili. Registration zinafanyika wapi? Tusaidiane mawazo kwa mwana...
Nawasalimu wana JF,
Kuna mtu alinijulisha jana kuwa kwa wale ambao wame be shortlisted wangeanza kupigiwa simu leo, na usaili utaanza jumatatu ijayo. Naomba kujua kama kuna mtu amepigiwa simu siku...
Natafuta kazi nina Diploma ya kilimo na mifugo nilihitimu chuo tangu 2010 na kuaidiwa na serikali kuwa itatuajiri but mpaka sasa bado.Naombeni wana jf mnitajie makampun yanayoshugulika na fani...
Haya, akina mama changamkieni hiyo:
The International Peace Research Association (IPRA) Foundation invites applications for the Dorothy Marchus Senesh Fellowship in Peace and Development Studies...
Naona wana wa great kutafakar wamechemka coz nafas za kaz hakuna, Kama vp hiki kipengele kifutwe maana mtu ukisema unatafta kazi watakuzogoa Kama vile wamelazimishwa kuchangia, guyz hii sio USO wa...
Leo nimeona ni vema niwashirikishe ndugu zangu ambao wasaka ajira kutwa kucha na kwa wale amabo wapo makazini na wanapenda kuwa na kipato cha ziada.
Jambo unalotakiwa kufanya ni kufuata link hiyo...
Kuna kijana nlimsikia siku moja analalamika ana CPA ,MBA ila hana uzoefu, wanamtosa kwenye ajira sijui kama alishapata kazi kama bado kuna empty anaweza wasiliana na mimi ,pia ni kwa yeyote...
Habari wana JF?,mi ni miongoni mwa walim wa SHORT COURSE. Nilihudhuria mafunzo hayo mwaka 2006 na nikafanya kaz kwa miaka miwili(April 2006- August 2088). Nikaandika barua wizarani kuwa naomba...
Business Improvement Coordinator-067309
Contract
Description
We are seeking a dedicated, self motivated and highly organized Business Improvement Coordinator to join the Administration Team so...
hbr za majukumu wandugu,pls mwenye uwezo wa kunisaidia anuani ya mlimani tv nataka kuomba ajira pale,nipo mbali na dar au mwenye kufahamu kwenye nafasi za kazi za editing na grahics, natumia 3ds...
Group Centre - Manager, Barclays Internal Audit, Kenya - B5 - 00054907 at Barclays Bank of Kenya in Nairobi
Head of Learning and Development - 00054250 at Barclays Bank of...
Asasi ya kiraia ya Education Approach inapenda kuwashukuru wote mliotutumia email, kupiga simu na sms. kwa sasa, kwa wale wote walio na uhitaji wa kuwa member wa Asasi, tunaomba mtume CV zenu...
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI
Wizara ya maendeleo ya jamii,na Watoto inakaribisha maombi ya nafasi ya kazi zilizo orodheshwa hapo chini kutoka kwa Watanzania kwa kuzingatia mashartimuhimu yafuatayo:-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.